kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Simply dead and gone !!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya yote mengine yalikuwa Blah Blah tu. Alikuwa anataka kusema mengine.Sasa hao ni jamaa zako, sio? Kwanini usiwaulize?
Pole, manake una hasira na Uzuni.Simply dead and gone !!!!!
Mkuu mtoto wa ndugu yangu katoka juzi tu segerea baada ya miezi kadhaa alipewa kesi ya kukaba kwa kutumia silaha na ni wengi tu walikamatwa na bado wanaendelea kukamatwa na kugewa hizo kesi yani hata ukitoka polisi wanakwambia hapa utarudi tu.
Mkuu sijakuelewa kabisa au hujanikusudia mimi?Panya Road ndio nani? Mlimsoma yule Herieri na wenzake waliodai wao wanadawa....wanafundisha kutumia Silaha ili wawaue.
Nchi yetu inafuata Sheria, Kama vile Jeshi letu linavyofuata sheria. Na kama hupendi....Muulize Zitto, au Makamba au yule aliyesema 'hamia burundi'
Unachokisema hapo ni chuki, una ng'ang'ania kutumia lugha za Ukimbari...
Unacholalamika ni nini? Hakuna Amani? au Kuna Panya? Polisi hawafuati sheria???
Mnajulikana, mnatumezesha sumu. Wewe ni Hatari kwa Usalama wa Afya ya Jamii.
Huna uthibitisho wowote uleKwa sababu aliwaruhusu kuchukua rushwa na kuonea raia watakavyo..
Saizi marufuku kukamata mtu Kama huna ushahidi.
Nimekupata....inawezekana nimekuchanganya haraka haraka, Hawa Maharamia yamejaa....sijui ndio Chawa wenyewe au Viroboto.Mkuu sijakuelewa kabisa au hujanikusudia mimi?
Mwendazake aliongea mwenyewe kwamba Polisi wasisumbuliwe wanachukua vihela vidogo vidogo.Huna uthibitisho wowote ule
Ati aliwaruhusu.
Mnamkumbuka Mke wa Waziri wake aliishia wapi. Unajua alisema nini Baada ya lile tukio?
Sisi Watanzania tunakumbuka....msimezeshe sumu zenu humu, waongo nyie.
Huyo alikuwa na kinyongo Binafsi baada ya kuchukuliwa mjengo wake....sio siri hawakuwa wanalipa THC utoto wake wa mjini akataka kuuleta....akaamua uhasama wake kwa Ugaidi. Vyombo vya Usalama vikafanya kazi zake. Mahakama vikafanya kazi zake....hawapati tena posho za kupiga, kutesa na wakati mwingine kuua viongozi na wafuasi wa CHADEMA.
yule mzee binafsi ninampenda sana lakini sera yake ya kutaka kuua CHADEMA alipotoshwa ila nimemsamehe.
Uvaaji wa ngozi ya kondoo na Uumbwa mwitu wenu tunaujua.Kweli kabisa, uvaaji wa kaunda/safari suti ulishamiri sana wakati wa dikteta jiwe
SahihiHa ha ha ha, mkuu Magufuli alikuwa mtu makini saana, itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu kama huyo tena... miaka mingi sana nasema
Kama yule BiBi Mwingereza Queen Elizabeth. Kafa Mungu BibiWalijigeuza mungu watu wakati wa magufuli
Tulijifunza kutoka kwa Baba yake Queen Elizabeth. Aliua na Kutupa watu River NigerWalipewa meno !! kutupa watu baharini huko
Hata Marekani kuna wapuuzi kama wewe ru. Yaani mijitu mipumbavu yameshindwa kura, yanadai wameibiwa. Mijuha.Hao askari watakuwa ni wapumbavu sana kama kweli wapo kuweza kumlilia mtu aliyekufa na kuzikwa miaka 2 iliyopita. Kimsingi ni majuha
wa nani Donald Trump? Queen Elizabeth? Adolf Hitler?Usitukumbushe ushetani wa yule kiumbe
Ni kawaida kwa Watanzania kujifanya wanawapenda Marehemu kuliko walio hai. Unafiki upo hata kwa familia kwahiyo hakuna ajabu hapoAmani iwe nanyi.
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.
Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa wanamweka Magufuli katika kurasa zao hizo, ikiambatana na caption mbakimbali kama Mwamba, emoji za machozi, nk
Ukifatilia trend, hata hapo majuzi wakati wa Sikukuu ya Noeli, video ya Magufuli ndiyo iliyotrend zaidi ya video ya Mh Rais Samia. Video ile ilisambazwa kwa wingi na sehemu kubwa ya Watumishi majeshi tajwa.
Watu hao katika post zao tisa kwa wastani, basi Mh Samia atapostiwa mara moja pekee au asipostiwe kabisa.
Sina shaka na kuwaamulia watu hao nini cha kupost, ila nina hamu kufahamu nini haswa kinawafanya wamkumbuke Rais Magufuli zaidi ya Mh Samia?
Katika kuwadodosa, wanasema wazi Magufuli aliboresha maisha yao na kuwapa meno kwa kiasi kikubwa..
Rais Samia kwa upande mwingine anaonekana kuwabana na kuwarudisha katika mstari wa kusimamia haki na kuwalinda Raia.
Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?
Kuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?
Hata yule Bibi wenu wa Uingereza alivyokufa pwaa Walimlilia sana.Ni kawaida kwa Watanzania kujifanya wanawapenda Marehemu kuliko walio hai. Unafiki upo hata kwa familia kwahiyo hakuna ajabu hapo
Hao ni wale ambao wana akili na mawazo mgando kwamba Rais akiwa madarakani hawezi kufa.Amani iwe nanyi.
Mimi ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, specifically Whatsapp. Katika matumizi hayo, napitia sana Status za marafiki pamoja na jamaa zangu.
Ninao jamaa ambao nawafahamu wanafanya kazi katika idara na majeshi husika. Japo hawapost mara nyingi, ila wanapopost huwa wanamweka Magufuli katika kurasa zao hizo, ikiambatana na caption mbakimbali kama Mwamba, emoji za machozi, nk
Ukifatilia trend, hata hapo majuzi wakati wa Sikukuu ya Noeli, video ya Magufuli ndiyo iliyotrend zaidi ya video ya Mh Rais Samia. Video ile ilisambazwa kwa wingi na sehemu kubwa ya Watumishi majeshi tajwa.
Watu hao katika post zao tisa kwa wastani, basi Mh Samia atapostiwa mara moja pekee au asipostiwe kabisa.
Sina shaka na kuwaamulia watu hao nini cha kupost, ila nina hamu kufahamu nini haswa kinawafanya wamkumbuke Rais Magufuli zaidi ya Mh Samia?
Katika kuwadodosa, wanasema wazi Magufuli aliboresha maisha yao na kuwapa meno kwa kiasi kikubwa..
Rais Samia kwa upande mwingine anaonekana kuwabana na kuwarudisha katika mstari wa kusimamia haki na kuwalinda Raia.
Je,nini haswa kinawafanya Wamkumbuke Rais Magufuli kuliko Amri Jeshi Mkuu wa sasa?
Kuna siri nyuma ya pazia ambayo hatuifahamu?
Hata Malikia wenu Amekufa.Hao ni wale ambao wana akili na mawazo mgando kwamba Rais akiwa madarakani hawezi kufa.
Kwahiyo bado wana msongo wa mawazo wakizinduka watakuta wenzao wanaoenda na muda na kukubaliana na matokeo wamepiga hatua kubwa kimaendeleo.