Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nimekuwa nikijiuliza swali hii kwa muda sana! naomba wadau tujadili kwa pamoja Kwa Nini wanaume Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu? Na wengine utakuta anamke wake ila atatembea na mke wa mtu mwingine😎