Kwa nini Wanaume wengi Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu?

Kwa nini Wanaume wengi Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu?

Sijawahi na sitakuja kuruka na mke wa mtu, labda anidanganye na nisiwe na taarifa zake.
 
Zingatia sana kabila la mke wako...
La sivyo utatafuta lawama bure....
NB: Mimi sio mbongo, haya mambo ni nadra sana kwetu, na ikitokea kwenye mila zetu umeliwa mke, ni haki kuua wote, na vikao vya mila na desturi vinasimamia mazishi.....
 
Nimekuwa nikijiuliza swali hii kwa muda sana! naomba wadau tujadili kwa pamoja Kwa Nini wanaume Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu? Na wengine utakuta anamke wake ila atatembea na mke wa mtu mwingine😎
Unaweza kuta huyo mwanaume ndiye alioa mke wa mtu. Kuna watu kuachana ni ngumu sana hata kama watatengana na kila mtu kuanzisha familia
 
Mila za hovyo

Swali mbadala linalofanana na lako: kwa nini wanawake wanajihusisha mahusiano na mme wa mtu?
 
Kuna jamaa mmoja ni mtu wa kabila langu

Hivi ni mtendaji ila kiukweli mke wake ana mkia, mkia kweli na nilikuwa nawaza siku zote n namna gani nitapata nafasi toka kwake

Huyu mke wake ni mfanyabiashara eneo ninalopita mara kwa mara kununua pia

Basi siku nikawa nanunua mzigo kwa dada mmja baada ya manunuzi yule mke wa mtu akaja

Nikamwomba rafiki yake namba akasema hajaolewa kazalishwa tuu.

Nikasikia msindikize huyo mkaka.kanisindikiza nikachukua namba,tukawa tunachati chati ,mwisho wa siku nikaomba mchezo. Akasema sawa.

Akanisumbua sana lini aje mjini kuniletea pusy,distance ni km 30 basi usumbufu ulivyokuwa mwingi nikamwambia aje,basi akaja.

Nakuwaga na vipimo vyangu vya hiv, kupima yupo sawa, nikamla vizuri tuu basi,ndio akaanza kusema nimuwahi mume wangu nikashtuka.

Akasema ana mume na mtoto mmoja.

Basi wote tumeajiriwa halmashauri moja na huyo jamaa na ni kabila mmoja.

Sasa juzi nikakutana na jamaa mmoja wa ukanda wetu akawa ananisimulia kuhusu huyo dada kuwa anagawa papuchi hovyo kwa Kila mgeni.

Nimemuhurumua sana mume wake sema ndio siwezi kumwambia.
 
Unaweza kuta huyo mwanaume ndiye alioa mke wa mtu. Kuna watu kuachana ni ngumu sana hata kama watatengana na kila mtu kuanzisha familia
Huu ndio ukweli wenyewe, wengi wameoa wake za watu, ukizingatia demu hujamkuta bikra, anexperience kubwa ya ngono, halafu unakuta wanaume sio mtundu, so ndio maana watu wanaopt bikra au wenye low body counts.
 
Back
Top Bottom