Eti haiamki, wee jamaa 😃😃Wake za watu wengi hawapati mapemzi matamu kwa waume zao, kuna mmoja nilimkwepa miaka mitatu mitego ya kila aina, kuna siku nikasema huyu leo namfumua amezidi,
Nikamuomba mtoko huyu hapa akajaa. Nikaipiga kimtindo, wakati tunapiga story mbili tatu akadai mumewe hajamkaza miaka mitatu sasa. Mashine ya mumewe haiamki yeye na mumewe wamepishana miaka kumi na tano.
Sure , sure mzeee 😃😃😃Sijawahi na sitakuja kuruka na mke wa mtu, labda anidanganye na nisiwe na taarifa zake.
Gharama ya kuwa na mke wa mtu ni kubwa kuzidi hao wengine. Linda ubingwa kivyovyote vileKwa sababu wanakwepa mabinti waliopo free, ni rahisi sana kukwepa gharama ukiwa na mke wa mtu , kuliko ukipata wa kwako peke yako, hivyo wengi wanapenda slope tu.
kama ni haramu kutembea na mke wa mtu vilevile ni haramu kutembea na mume wa mtu pia.Inatokea kuwa mtu anashindwa kutawala tamaa za mwili na hapo utakuta akisema ni shetani amesababisha kufanya hivyo. Ila kwa ujumla ni mbaya sana kutembea na mke wa mtu na ukifikiria kuwa wewe ukifanyiwa hivyo iakuwaje.
Ni sawa mkuu. Kote ni haramu. Na kote kuna maumivu sana unapokuja kujua ukweli.kama ni haramu kutembea na mke wa mtu vilevile ni haramu kutembea na mume wa mtu pia.