Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kugandwa pia mke wa mtu hawezi kukutafuta usikuKwa sababu wanakwepa mabinti waliopo free, ni rahisi sana kukwepa gharama ukiwa na mke wa mtu , kuliko ukipata wa kwako peke yako, hivyo wengi wanapenda slope tu.
Kuna mawili wengi huwa hawana gharama kwa sababu huwa wanahudumiwa na wanaume zao (kifedha) kwahiyo wewe ni kuteleza.Nimekuwa nikijiuliza swali hii kwa muda sana! naomba wadau tujadili kwa pamoja Kwa Nini wanaume Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu? Na wengine utakuta anamke wake ila atatembea na mke wa mtu mwingine😎
Sometimes kuna kuikinai Mkuu, so i think ni bora muda mwingine kupeana ka space kidogo labda kwa kusafiri maybeWake za watu wengi hawapati mapemzi matamu kwa waume zao, kuna mmoja nilimkwepa miaka mitatu mitego ya kila aina, kuna siku nikasema huyu leo namfumua amezidi,
Nikamuomba mtoko huyu hapa akajaa. Nikaipiga kimtindo, wakati tunapiga story mbili tatu akadai mumewe hajamkaza miaka mitatu sasa. Mashine ya mumewe haiamki yeye na mumewe wamepishana miaka kumi na tano.
Kwanini hujajiuliza inakuaje hao wake za watu wanajihusisha na mahusiano nje ya waume zao?Nimekuwa nikijiuliza swali hii kwa muda sana! naomba wadau tujadili kwa pamoja Kwa Nini wanaume Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu? Na wengine utakuta anamke wake ila atatembea na mke wa mtu mwingine😎
inasikitisha sanaLabla kwa sababu wanajihusisha na wake za watu
Na tamu ni haramKisaikolojia haramu ni tamu.
Shindii unaongelea experience?Kwa sababu wanakwepa mabinti waliopo free, ni rahisi sana kukwepa gharama ukiwa na mke wa mtu , kuliko ukipata wa kwako peke yako, hivyo wengi wanapenda slope tu.