Kwa nini Wanaume wengi Wanajihusisha na Mahusiano na Mke wa Mtu?

Eti haiamki, wee jamaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kwa sababu wanakwepa mabinti waliopo free, ni rahisi sana kukwepa gharama ukiwa na mke wa mtu , kuliko ukipata wa kwako peke yako, hivyo wengi wanapenda slope tu.
Gharama ya kuwa na mke wa mtu ni kubwa kuzidi hao wengine. Linda ubingwa kivyovyote vile
 
1. Usiri
2. Cheaper
3. Ustaarabu
4. Magendo yanalipa sana

It's very dangerous.
 
Inatokea kuwa mtu anashindwa kutawala tamaa za mwili na hapo utakuta akisema ni shetani amesababisha kufanya hivyo. Ila kwa ujumla ni mbaya sana kutembea na mke wa mtu na ukifikiria kuwa wewe ukifanyiwa hivyo iakuwaje.
kama ni haramu kutembea na mke wa mtu vilevile ni haramu kutembea na mume wa mtu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…