akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
Sio malengo mkuu.Ni kwa sababu wao kwenye akili yao huwa wamejipanga kulipa deni kwa njia tofauti na unayo-expect.
Kama analeta ukorofi kulipa cash, jaribu kuomba kipochi manyoya. 😎
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hawa wanawake wa siku hizi sipati majibu kwa nini wamekuwa wakorofi wa kutupwa hasa linapokuja suala la hela, Kuna malalamiko mengi uko mitaani yanayowahusu hakina dada na hakina mama wakilalamikiwa kutolipa madeni yanayotokana na haidha kukopeshwa hela au vitu mbalimbali.
Kwa hali jinsi ilivyo kuhusu hawa watu, ni heri umkopeshe mwanaume mwenzio kuliko mwanamke, ni hatari sana hawa viumbe, usithubutu kumkopesha mwanamke bidhaa yeyota au hela ukitegemea atakulipa, hakulipi ng'oo
Nimemaliza.
Mh!Kwasababu wanajua jinsi watavyopata pesa kupitia UCHUMI WAO walioukalia.
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hawa wanawake wa siku hizi sipati majibu kwa nini wamekuwa wakorofi wa kutupwa hasa linapokuja suala la hela, Kuna malalamiko mengi uko mitaani yanayowahusu hakina dada na hakina mama wakilalamikiwa kutolipa madeni yanayotokana na haidha kukopeshwa hela au vitu mbalimbali.
Kwa hali jinsi ilivyo kuhusu hawa watu, ni heri umkopeshe mwanaume mwenzio kuliko mwanamke, ni hatari sana hawa viumbe, usithubutu kumkopesha mwanamke bidhaa yeyota au hela ukitegemea atakulipa, hakulipi ng'oo
Nimemaliza.
What nextMwanamke anaogopa vipi deni wakati anajua lazima utaomba cha kufidia 😹😹
We shukuru bhana kuliko kumkopesha mwanaume mwenzio halafu anakukimbia, mwanamke atakupa hata shavu ushike…!! 🤣
ety nishike shavuMwanamke anaogopa vipi deni wakati anajua lazima utaomba cha kufidia 😹😹
We shukuru bhana kuliko kumkopesha mwanaume mwenzio halafu anakukimbia, mwanamke atakupa hata shavu ushike…!! 🤣
We mdu mziba bana usidichoshe..!! 😹😹What next
Na kumbebea mimba juu sioMwanamke anaogopa vipi deni wakati anajua lazima utaomba cha kufidia 😹😹
We shukuru bhana kuliko kumkopesha mwanaume mwenzio halafu anakukimbia, mwanamke atakupa hata shavu ushike ufidie deni…!! 🤣
We mdu mziba bana usidichoshe..!! 😹😹
Miba hatubebi piduu zimedaa famadi 😹😹Na kumbebea mimba juu sio