Kwa nini wanawake wa sikuizi hawaogopi madeni!?

Nimekumbuka deni la taifa lilivyopaa angani
 
Nilimkopesha mdada km laki na nusu , eeh kumbe ile laki na nusu ndio nauli ya kwenda kwao njombe huko..kuja kuchunguza ana madezi, sijui OYA, ASA, sijui STEIN yaan. Ana lundo la madeni km seeikali yake
 
Weeeh 😹😹😹
Usidambie udugu wagu, udasemaje? Jana ulilala na mzugu akakupa dollar 10? Thatha si ugemuibia waleti yake, haiwedekani akudine mistaidi yode akuchoshe afu akube dollar 10!! 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimechekaaa.
Mie sio mwizi uduguu, naogopa ntakosa fursa siku ingine, c unajua nataka kuzamia mambele?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimechekaaa.
Mie sio mwizi uduguu, naogopa ntakosa fursa siku ingine, c unajua nataka kuzamia mambele?
😹😹😹
 
Hawaogopo madeni,
maana uwezo wa kulipa wanao,
Usitake au usitake, deni lako lzm utalipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…