kwa nini wanawake wanakubali kufanya haya?

kwa nini wanawake wanakubali kufanya haya?

mtanzania in exile

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
1,379
Reaction score
1,276
Habari zenu wana JF,

Naamini sote tumewahi kusikia na hata kuona sex tape zinazotembezwa kwenye mtandao. Mara nyingi huwa za watu maarufu lakini pia hata za watu wa kawaida zipo nyingi tu.

Kinachonitatiza ni kwa nini mwanamke anaweza kukubali kurekodiwa wakati akiwa ana seksiwa? Wako ambao wamekuwa victim wa wapenzi wao (au walidhani ni wapenzi wao) ambao hurekodi mchezo kisirisiri, mimi siongelei hawa. Naongelea hawa ambao wanaokubali na kuwa active katika namna wanavyojirekodi. Hivi huwa wanafikiria fikiriaje kuwa tape hiyo haitomalizikia kwenye mtandao? Hawa huwa katika dunia gani hata wasifikirie ni namna gani kitendo chao kitaaibisha familia zao?

Sababu kubwa ya kuuliza haya ni kuwepo kwa sex tape mpya ya kijana wa kike wa kitanzania ambayo imeanza kuzungushwa kwenye mtandao. Huyu ni kijana nasikia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika moja ya university huko USA. Kwa mujibu ya walioiona video hio anaonyesha dhahiri kuwa anajua kuwepo kwa video chumbani mwao na infact mara kadhaa anampa muongozo bwana/boyfriend wake angle gani aweke hiyo webcam.

Hivi kuna raha gani ya kujirekodi ukiwa wakati una sex na mtu? Kwa nini kijana wa kitanzania anasahau maadili ya kwao na kusiriki katika jambo kama hili? Inasikitisha sana!
 
Inawezekana wengine wanajirekodi kwa matumizi yao binafsi na inatokea mtu wa karibu au hata moja wa wenzi kwa sababu mbalimbali kama visasi, pesa kuamua kutoa hadharani
 
Inawezekana wengine wanajirekodi kwa matumizi yao binafsi na inatokea mtu wa karibu au hata moja wa wenzi kwa sababu mbalimbali kama visasi, pesa kuamua kutoa hadharani

Thats good point hapo, katika karne hii tuliopo na namna teknolojia inavyokuwa kila siku, inakuwaje kuwaje mtu anakubali kujirekodi ilhali kuna 99% possibility ya video hio kuingia kwenye mtandao iwe kwa kuibiwa, kisasai au chochote kile? kwa nini watu hawafikirii hayo? pia kina issue ya kuiaibisha familia yako, tunaiga wazungu kupita kiasi, mengine ni too much!!!!!!
 
hivi hao wanawake wanajirekodi wakiwa wanafanya peke yao..?..na huyo mwenzie yeye haleti aibu kwenye jamii......?na unadhani wanalazimishwa.....hawajui wanachokifanya?.....

This +1. dada analeta aibu lakini kaka anaonesha ujogoo, really hypocritical

@ MtanzaniaInExile
it is possible to remove a video/image online! just contact the web master (or person in charge of keeping the site up) and ask him to take it down.
 
hivi hao wanawake wanajirekodi wakiwa wanafanya peke yao..?..na huyo mwenzie yeye haleti aibu kwenye jamii......?na unadhani wanalazimishwa.....hawajui wanachokifanya?.....
Maneno ya kweli haya.

Lakini kuna mmoja nimemuona anaitwa Asha Madinda amejirokodi anatingisha wowowwooo mpaa nataka kwenda kulijaribu, lakini naogopa Aids pale huyo hakuwa na mwanaume :biggrin:
 
mi nafikiri watu wengi sana wametawaliwa na mawazo ya ngono mda wote ndo maana wanafanya huo upuuz.mapenzi lazima yapewe nafasi yake
 
Ni mimi huwa najiuliza hili mara kwa mara
lakini jibu lake sijalipata.
We mzee mwenzangu Mamndenyi , haya mambo tuwaachie vijana.

Sisi enzi zetu kupiga picha lazima uende studio na redio na maua unaweka juu ya stuli na pozi kuuubwa. Unajihakiki kama bugaluu na raizoni zimekaa vyema. Nywele unazipiga kwa kitanna cha mti. Shati vifungo kama ishirini hivi tena lazima liwe la kubana. Saa lazima ionekane na ilikuwa lazima iwe kubwa kama mita ya maji. Jamaa anakupiga black and white na unaambiwa uje uchukue picha baada ya wiki mbili! Ole wake asikupe negative ya picha....

Haya mambo kina RussianRoulette, gfsonwin Cantalisia, Erotica Bishanga na Rejao walikuwa bado kuzaliwa na kina Kongosho na AshaDii walikuwa bado hawajavunja manyungo.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni biashara ambayo imeshamili sana katika nchi zilizoendelea, na hina mshiko mkubwa sana huko.
Hawa jamaa baada ya kuona wanatumia pesa nyingi sana kutayarisha hizi sex video, now days wameamua kuja nchi za Kiafrika na Asia kama watalii, ilihali wana yao moyoni na wakishatimiza tu uhondoka kwende kumalizia kuedit makwao na zinawaingizia pesa nyingi sana.
Pole kwa Mtanzania aliyeingia kwenye kamchezo haka.
 
We mzee mwenzangu Mamndenyi , haya mambo tuwaachie vijana.

Sisi enzi zetu kupiga picha lazima uende studio na redio na maua unaweka juu ya stuli na pozi kuuubwa. Unajihakiki kama bugaluu na raizoni zimekaa vyema. Nywele unazipiga kwa kitanna cha mti. Shati vifungo kama ishirini hivi tena lazima liwe la kubana. Saa lazima ionekane na ilikuwa lazima iwe kubwa kama mita ya maji. Jamaa anakupiga black and white na unaambiwa uje uchukue picha baada ya wiki mbili! Ole wake asikupe negative ya picha....

Haya mambo kina RussianRoulette, gfsonwin Cantalisia, Erotica Bishanga na Rejao walikuwa bado kuzaliwa na kina Kongosho na AshaDii walikuwa bado hawajavunja manyungo.
Hahahah hahha hahha,
Babu Asprin kwa upande wangu inawezekana maana nilikuta tu hizo picha ila sikuwepo wakati zinapigwa lol!

BTW,Haya mambo ya kupiga picha za utupu au wakati wa kufanya na mtu akaona ni ufahari ni ulimbukeni tu na kuiga iga mambo ya huko ulaya sijui na matumizi mabaya ya utandawazi.
 
Lakini tukipigwa picha wakati nakukagua nadhani haina ubaya si eti eh?😛hoto:
 
Thats good point hapo, katika karne hii tuliopo na namna teknolojia inavyokuwa kila siku, inakuwaje kuwaje mtu anakubali kujirekodi ilhali kuna 99% possibility ya video hio kuingia kwenye mtandao iwe kwa kuibiwa, kisasai au chochote kile? kwa nini watu hawafikirii hayo? pia kina issue ya kuiaibisha familia yako, tunaiga wazungu kupita kiasi, mengine ni too much!!!!!!
Ujue ukiwa na mwenzi wako halafu mnahaminiana uwa wengine wanajitoa akili aidha kwa kudhani kwa kufanya hivyo ni kudumisha mapenzi au lah..........sidhani kama ni kuiga tabia mbaya za kizungu mimi naona kama tabia mbaya tulikuwa nazo toka zamani ile sasa zinaonekana wazi kutokana na teknolojia
 
Lakini tukipigwa picha wakati nakukagua nadhani haina ubaya si eti eh?😛hoto:
Hahahha hahhhaha hahahhah,
Uwiiiiiiiiiiiii babu mbavu zangu mie lol!
Mie ulishanikagua enzi hizo na hatukupiga picha,
Sasa niko kwa mume wangu Rejao ananikagua mwenyewe na hakunaga mambo ya kupigana picha lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom