mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Habari zenu wana JF,
Naamini sote tumewahi kusikia na hata kuona sex tape zinazotembezwa kwenye mtandao. Mara nyingi huwa za watu maarufu lakini pia hata za watu wa kawaida zipo nyingi tu.
Kinachonitatiza ni kwa nini mwanamke anaweza kukubali kurekodiwa wakati akiwa ana seksiwa? Wako ambao wamekuwa victim wa wapenzi wao (au walidhani ni wapenzi wao) ambao hurekodi mchezo kisirisiri, mimi siongelei hawa. Naongelea hawa ambao wanaokubali na kuwa active katika namna wanavyojirekodi. Hivi huwa wanafikiria fikiriaje kuwa tape hiyo haitomalizikia kwenye mtandao? Hawa huwa katika dunia gani hata wasifikirie ni namna gani kitendo chao kitaaibisha familia zao?
Sababu kubwa ya kuuliza haya ni kuwepo kwa sex tape mpya ya kijana wa kike wa kitanzania ambayo imeanza kuzungushwa kwenye mtandao. Huyu ni kijana nasikia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika moja ya university huko USA. Kwa mujibu ya walioiona video hio anaonyesha dhahiri kuwa anajua kuwepo kwa video chumbani mwao na infact mara kadhaa anampa muongozo bwana/boyfriend wake angle gani aweke hiyo webcam.
Hivi kuna raha gani ya kujirekodi ukiwa wakati una sex na mtu? Kwa nini kijana wa kitanzania anasahau maadili ya kwao na kusiriki katika jambo kama hili? Inasikitisha sana!