Kwa nini wanawake wanaotafuta wapenzi wengi humu ni wakristo?

Kwasababu nature haitaki mwanaume awe na mke mmoja,matokeo yake ndio haya,na kwaujinga waliolishwa makanisani kuwa kuolewa matala ni dhambi wakati Yesu hata hakuwahi kuoa.

Kiufupi walidanganywa ndio mana wanateseka,matala ni mpango wa asili wa viumbe hai.
 
wabadilishe sheria zao
 
Sawa bana nawewe subiria WANAWAKE mabikira 72 peponi shehe uta enjoy sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…