Kwa nini wanawake wengi wanatulia kimapenzi wakifika 30+, lakini wanaume wengi wakifika 30+ ndio kwanza kunakucha (wanakuwa active?)

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
Nimekuwa nikiona pattern fulani ya ajabu kwenye mahusiano. Wanawake wengi wakiwa kwenye 20s wanakuwa na nguvu nyingi za kimapenzi, kupenda kujaribu mambo mapya na kubadilisha wapenzi mara kwa mara. Lakini wakifika 30+ wengi huonekana “kutulia” wanapenda mtu mmoja, maisha ya utulivu na mara nyingi husema “nataka serious relationship tu.”

Wanaume wengi, kwa upande mwingine, miaka ya 20s wanakuwa bado wanajitafuta kimaisha. Lakini inavyoonekana wakifika 30+ ndio kwanza wanakuwa “active” zaidi kimapenzi kuliko awali, hapa ndo zile totoz za mjini zote mwanaume anatamani kua nazo.

Je, hii ni kutokana na tofauti za kibiolojia na homoni? Ni malezi na mazingira ya kijamii? Au ni masuala ya uchumi na muda wa kujitegemea?
 
Wanawake wanazaliwa wakiwa na value tayari na inashuka kadri umri unavyosonga
Wanaume wanatengeneza value yao wenyewe na hupanda kadri unavyosonga.
30’s ndo umri ambao wanaume wengi wanaku wamejipata(value yake inapanda)
Hivyo anakua na nguvu ya kupata vile alivyokua anavitamani kwenye maisha yake .
 
haya mambo hayana kanuni, kuna wanawake wakifika 30+ ndio wanafungulia sasa.. na kuna wanaume wanaofika 30+ kwa ajiri ya majukumu hutulia kama kobe.. yani havieleweki.. Unaekutana nae sio ambae unamfikri na unaemfikri sio unaekutana.. yanachosha sana
 
Thamani ya mwanamke ipo kwenye mwili wake wakati thamani ya mwanaume ipo kwenye pochi yake.

Hivyo mwanamke anapo fikisha miaka 30 mwili wake unakuwa hauna thamani kama ilivyo kuwa wakati wa balehe yake hivyo anakuwa hana jipya lolote mbele ya wanaume.
Kwa mwanaume kama ni mpambanaji kadri siku zinavyo kwenda ndovyo anavyo zidi kusitawi kiuchumi hivyo thamani yake inapanda kwa sababu ya uwezo wake wa kiuchumi.
 
Wanawake wanatulia kwa sababu mikoba ya sadaka inakuwa imejaa hewa tyr kwa sababu wanaume wanakuwa wamepampu sana so ukiwaweka ile style ya mbwa inakuwa inajamba hewa tu kwasababu inakuwa nyingi.so suluhu ni kutulia 🤣
 
haya mambo hayana kanuni, kuna wanawake wakifika 30+ ndio wanafungulia sasa.. na kuna wanaume wanaofika 30+ kwa ajiri ya majukumu hutulia kama kobe.. yani havieleweki.. Unaekutana nae sio ambae unamfikri na unaemfikri sio unaekutana.. yanachosha sana
Asilimia kubwa ya wanawake wanao jifanya kutulia baada ya kufikisha miaka 30 ,sio kwamba huwa wanaamuwa kutoka moyoni ,bali huwa wanajifanya kutulia baada ya kuona soko lao kwa wanaume limeshuka na maisha yanewataiti na ndio maana hata wanapo bahatika kuolewa,umalaya na uchafu wao huwa wanauendeleza mpaka wakiwa kwenye ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…