Wanawake wakianza kufika 27, wanataka kuwa na stable future pamoja na commitment.
Wakifika 35 kama hawapata, wanaona atleast apate mtoto. But wanawake wakifika 40, swx drive yao inarudi kama vike wa 20s, ila ya kiutu uzima (ndio maana wa umri kuanzia 40, wanalenda vijana wa 20, au 37 kushuma chini kama michepuko).
Kwa upande wetu wanaume, ikifika 30, probably majukumu yanaanza kuwa mengi, na kazi kuongeza. Tukifika 40s tunakuwa busy na kazi na future ya familia, hapa utakuta wengi wetu sex drive inapungua na show zinakuwa za ki father, maana mawazo yapo kwenye maendeleo na mafanikio