Kwasasa hao lao moja lakini Israel wanajua waarabu si watu wa misimamo ya kweli, wengi ni vigeugeu hivyo muda wowote wanakugeuka, wanachofanya kuwaweka hao wanaoitwa waasi katika Hali ya kuanza upya halafu watawamonitor kupitia taasisi zao za kiusalama Kwa maana Israel atatumia advantage ya hayo machafuko kuzidi kuingiza watu wake ndani ya utawala huu mpya yaani Hadi kiongozi mkuu akitaka kunya tayari Israel wanajua, hao waasi wakija shtuka kuwa wameingizwa Chaka na Israel basi hawana nguvu za kupigana naye maana wanajulikana nje ndani na Israel na wakati huo uwezo wao wa kijeshi ni sifuri na ndio maana cha kwanza ni kushambulia maeneo yote muhimu ya kijeshi yatakayoweza kuleta shida kwao hapo baadae Incase hao waasi wakiwageuka.