The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Jambo moja ambalo huwa linanishangaza kwa watanzania ni kupenda kutumia cash katika manunuzi mbalimbali ya vitu. Faida za online transactions ni kama hizi hapa.
1. Kurahisa ukusanyaji waa kodi
Kwa njia ya cash ni mtihani mzito maanake mpaka mfanya biashara awe mwamimifu kwa TRA.Lakkni pia walipa kodi wanakuwa wachache sana. TRA Wangeteneza mfumo Kama tunakuwa tunafanya online transactions manake kodi ingekatwa moja kwa moja kwenda TRA wakati.wa manunuzi hata bila EFD machines tunakuwa na electronic lists tu.
2. Kupunguza kubeba hela
Hii ni kazi nyingine.imagine mtu anabeba maburungutu ya hela kwenda kununua vifaa vya ujenzi au kwenda kudeposit bank.ni mambo yaliyopitwa na wakati..wenzetu ulaya hawapendi kabisa kubeba hela wao kadi tu inamaliza.kila kitu hata hapo Kenya tu wanatumia sana mitandao ya simu kwenye malipo iwe ni mgawahawa, dukani yaani katika maeneo yote hawapendi cash. Kingine si salama.sana kubeba kiasi kikubwa cha hela.
3 Usumbufu wa kupata change.
Aisee hii ni changamoto nyingine. Imagine unanunua kitu afu muuzaji anaanza kuzurura kutafuta change Lakini kama ingefanyika online ungekata kile kiasi kinatakiwa exactly bila shida yoyote. Leo hii ukiwa na 10k huwezi kunu kitu cha 200 manake change itakuwa mtihani..kwenye daladalala nako ukitoa 10K konda ananuna. Lakkni tungekuwa tunamia kadi au mobile transactions mambo yangekuwa marahisi mno.
4. Kuepusha uchakavu wa hela
.
Kwa mtu anayetumia.pesa za nje utakubaliana na mimi kukutana na dola au pesa yoyote chakavu ni jambo gumu sana .ila pesa za kibongo sasa utunzaji wale siyo mzuri afu zinachakaa kuchanikanika wakati mwingine zinatoa hatufu chafu maana kila mtu ana utunzaji wake. Kwa hiyo si jambo jema kutumia cash hasa kipindi hiki cha digital age tubadilike.