The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Yes best idea yaani hata kama una 5k unaweza nunua kitu cha sh 50sio njia rahisi kwa avarage consumer ,inabidi waweke iwe rahisi kama tap to pay na Qr code scan to pay na iwe stable/uhakika.
Umefikiria kwa urahisi sana charges zote zinatakiwa ziwe within the price. Kukiwa na miamala mingi automatically lazima watapunguza gharama za kufanya manunuzi. Ukumbuke hizo ni huduma na sifa moja ya huduma lazima iwe na bei rafikiNaona meneja wa benki umekuja na Uzi.
Hasara za kutumia pesa online.
Ukitoa unakatwa, ukituma unakatwa, unaemtumia anakatwa na akitoa anakatwa.
Mfano: Nina elfu kumi nataka kumtumia mama yangu anunue samaki.
Nikimtumia nakatwa hela ya kutuma inamfikia efu 9, akitoa anakatwa hela ya Kutoa anatoa 7500.
Kwahyo hapo mabenki na Mitandao wanakuwa wameshakula 1500 Kwenye hiyo efkumi.
Na kama mama nayeye hiyo 9000 itakayomfikia akinunua kwa Mitandao, means nayeye tena atakatwa kutuma na anayepokea atakatwa tena...
Unaweza kukuta 10,000 yangu original ikafika 5,000 imeshakatwa njiani na mabepari.
Wakati nikimpa mama yangu cash ya 10,000 hiyo hiyo ataenda kutumia na kupata bidhaa yake bila kupungua hata mia.
Na huyo muuzaji ataipokea 10,000 bila kupungua hata mia...ila mabepari wa benki na Mitandao na wazee wa viti virefu watakuwa wamekosa ulaji.
Weeeeh..umeona wapi??Umefikiria kwa urahisi sana charges zote zinatakiwa ziwe within the price. Kukiwa na miamala mingi automatically lazima watapunguza gharama za kufanya manunuzi. Ukumbuke hizo ni huduma na sifa moja ya huduma lazima iwe na bei rafiki
Itabidi twende na wakatiElimu nzuri
Sure wapo vizuri sana hii inapunguza mambo mengi sana. Kule.hata mama ntilie unamlipa kwa safaricom Mpesa ahaha ha ha 😂 😆 🤣Kenya kwenye hili wamepiga hatua katika hili niliona hadi kwenye daladala kuna lipa namba hadi wauza karanga nao wana lipa namba