BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Hahaha adi alitamani chuma ipigwe lockup. yani alionesha wivu mubashara kabisaHahahaha! Mtukufu alimind Mpaka akatamani na U Igp. Ila mtukufu Wetu ana wivu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha adi alitamani chuma ipigwe lockup. yani alionesha wivu mubashara kabisaHahahaha! Mtukufu alimind Mpaka akatamani na U Igp. Ila mtukufu Wetu ana wivu sana
Fungu la kukosa [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yote kwa yote.hunitoi kwenye Rav4 old model manual gear
Ukiangalia reviews nyingi za magari mwaka huu... G-wagon imescore marks ndogo sana.Mkuu samahani hivi kati ya G Wagon na Range Rover SVA ipi Ina stability nzuri?!
Yeah Mkuu...G wagon kimbaumbau sana, inaonekana wametumia utaaamu wa hali ya juu ili capability iendane na hizi zingine ambazo zimejaa kama range etc.
Upo sahihi mkuu...nikiangalia trend ni SUV tu...natamani kuiona hiyo BMW x7....Sport Utility Vehicles(SUVs) are hot right now...
Wabongo ndio hatuendi na ulimwengu uendavyo....
Rolls-Royce Wamezalisha Sedans tangu WWII lakini siku hizi SUVs zimekua dili... Mwaka huu wanazindua their first SUV Rolls-Royce Cullinan.
Bentley pia wamezalisha Sedans kwa miaka mingi... Mwaka jana walizindua their first SUV Bentley Bentayga.Ambayo ndio world fast SUV.
BMW mwaka huu wanazindua BMW X7 ili icompete na Range Rover... Na wameona SUVs ndio zina soko siku hizi.
Jaguar wamezindua Jaguar F-Pace mwaka huu ambayo ndio their first Suv... Kwa kuwa Sedans Kama Jaguar XJ hazina dili.
Believe me,Suvs ndio habari ya mjini duniani mda huu.
Ila kutokana na umasikini wetu wabongo Sedans Kama Toyota mark X,Camry na nyingine ndio tunaona zina maana.
[emoji23][emoji23]....Ngoja niigoogle hii, hiyo Autobiography anasukuma Manji ila haina shida ngoja tukomae na Sedan zetu.
samahani mkuu siyo kwamba uwezo wako umefika hapo ?..... jirani yangu kanilazimisha kuandikaYote kwa yote.hunitoi kwenye Rav4 old model manual gear
Liko wazi kua uwezo wangu upo hapo na hicho ndo nachokikubali ndo mana nkasema hunitoi hapo kwenye rav4samahani mkuu siyo kwamba uwezo wako umefika hapo ?..... jirani yangu kanilazimisha kuandika
asante mkuu nilidhani unauwezo wa range nijisogeze uje uninunulie zawadi ya birthday li range natamani kulisukuma hili zigoLiko wazi kua uwezo wangu upo hapo na hicho ndo nachokikubali ndo mana nkasema hunitoi hapo kwenye rav4
Sport Utility Vehicles(SUVs) are hot right now...
Wabongo ndio hatuendi na ulimwengu uendavyo....
Rolls-Royce Wamezalisha Sedans tangu WWII lakini siku hizi SUVs zimekua dili... Mwaka huu wanazindua their first SUV Rolls-Royce Cullinan.
Bentley pia wamezalisha Sedans kwa miaka mingi... Mwaka jana walizindua their first SUV Bentley Bentayga.Ambayo ndio world fast SUV.
BMW mwaka huu wanazindua BMW X7 ili icompete na Range Rover... Na wameona SUVs ndio zina soko siku hizi.
Jaguar wamezindua Jaguar F-Pace mwaka huu ambayo ndio their first Suv... Kwa kuwa Sedans Kama Jaguar XJ hazina dili.
Believe me,Suvs ndio habari ya mjini duniani mda huu.
Ila kutokana na umasikini wetu wabongo Sedans Kama Toyota mark X,Camry na nyingine ndio tunaona zina maana.
Zawadi ya birthday na ka Rav4 kengine ka kukupa wewe hapo naweza.karibuasante mkuu nilidhani unauwezo wa range nijisogeze uje uninunulie zawadi ya birthday li range natamani kulisukuma hili zigo
asante mkuu nakuja pmZawadi ya birthday na ka Rav4 kengine ka kukupa wewe hapo naweza.karibu
Manual transmission yoyote ipo kibabe zaidi, mimi ni muumini mwenzio wa manual gear.Yote kwa yote.hunitoi kwenye Rav4 old model manual gear
Wewe unajua.aminia ngw'anawaneManual transmission yoyote ipo kibabe zaidi, mimi ni muumini mwenzio wa manual gear.
Daah!! Ni balaaa hili dude.Lexus LX 570...
![]()
![]()
Bila kubadili badili gear si - enjoy driving [emoji1]Wewe unajua.aminia ngw'anawane