Kwa nini watu wananawa mikono kabla ya kula?

Nashukuru kwa jibu lako mkuu๐Ÿ™

Lakini kuhusu kumind my own business, sidhani kama hilo ni sahihi. Naona kama huo mtazamo una kasumba ya ubinafsi. Wanaojua wasipowafahamisha wasiofahamu, ujinga utaendelea kutamalaki.

Mimi nafikiri ungekuwa umefanya vizuri zaidi kama ungenikosoa kwa kutokumshauri huyo dada ili pengine asirudie siku nyingine kufanya kosa kama hilo.
 
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Ukishanawa mikono, hupaswi kugusa hata koki ya bomba kwa kutumia kiganja cha mkono utakaoutumia kulia chakula. Vinginevyo, unaweza ukajizolea vibakteria ingawa umenawa.
 

Attachments

  • WHO__How_to_handwash__With_soap_and_water(480p).mp4
    3.6 MB
Namna sahihi ya kunawa mikono
 

Attachments

  • HATUA_ZA_KUNAWA_MIKONO_KWA_UFASAHA(360p).mp4
    8.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ