Kwa nini watumishi wa wanahama sana wakipangiwa baadhi ya maeneo?

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
289
Reaction score
342
1. Kutaka kuwa karibu na familia hasa mwenza na watoto.
2. Kukosekana kwa nyumba bora za watumishi au za kupanga.
3. Gharama kubwa za kupanga hasa katika majiji.
4. Upungufu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, shule, hospitali
5. Changamoto ya mawasiliano ya simu na Miundombinu kama Barabara.
6. Umbali kutoka makao makuu ya mkoa au wilaya.
7. Upungufu wa vifaa vya kazi na rasilimali muhimu
8. Sababu za kiafya . Mwingine hapend sehemu yenye baridi sana au joto sana.
9. Changamoto za usalama katika baadhi ya maeneo.
10. Kukosa fursa ya kuendelea kitaaluma baadhi ya maeneo.
11. Migogoro na watumishi wenzake au sehemu ya makazi.
12. Uongozi mbaya katika kituo au eneo alilopo.
13. Matarajio binafsi
14. Kutafuta nafasi za kupandishwa cheo katika sehemu nyingine
 
Yote hayo inaweza kuwa sababu
 
Kwenye wizara na idara zetu, ukikubali kukaa maeneo ya mbali, basi ujue umesahaulika rasmi. Fursa zote za short courses, semina zenye allowances, au hata kuidhinishiwa barua za kwenda kusoma Shahada za Juu huwa zinabaki kwa wale walio karibu na makao makuu ya mkoa au wilaya.

Walio mbali huwa wanaonekana kama wameshatupwa hivi , na hakuna mtu anayewakumbuka kwenye kupandishwa vyeo au kuwapa nafasi za uongozi. Watumishi sio wajinga wanalijua hili vizuri sana.
 
Yeap, ukikaa mbali habari yako kwisha , pale HQ wanapeana fursa kama zote .
 
Kwenye wizara na idara zetu, ukikubali kukaa maeneo ya mbali, basi ujue umesahaulika rasmi. Fursa zote za short courses, semina zenye allowances, au hata kuidhinishiwa barua za kwenda kusoma Shahada za Juu huwa zinabaki kwa wale walio karibu na makao makuu ya mkoa au wilaya.

Walio mbali huwa wanaonekana kama wameshatupwa hivi , na hakuna mtu anayewakumbuka kwenye kupandishwa vyeo au kuwapa nafasi za uongozi. Watumishi sio wajinga wanalijua hili vizuri sana.
Ila mkuu Kuna Faida ukiwa na uwezo wa kutumia hiyo fursa ya kuwa mbali sana, Kuna jamaa katupwa ndanindani hukoKiteto ni afisa kilimo na Mifugo,analima sana na kaweka duka la madawa ya Mifugo,anahela balaa!
 
Nimepga oral moja hapa nilipo naomba mkeka usitiki maana nikiona hao wanaopangiwa huko wanakotupwa nachoka kabisa gori langu ndio naenda kulifunga hivi hivi
 
Back
Top Bottom