Kama wewe unakiri ni watoto tuambie watoto walifikaje kwenye uwanja wa vita? Au Magsifi walikuwa wanawatumia kama Kinga? Anyway acha wafe tu maana hakuna namna ya kulea Magaidi!!Una matatizo ya akili wewe, raia wanakuaje magaidi? Unajua 50,000 kati yao ni watoto chini ya miaka 15??
Kuna watu mna akili mbovu sana. Na hivi kaanguka ajiandae kuburuzwa ICC maana hana kinga yoyote akajibu hao elfu 70 ni magaidi au watoto!!
Uwanja wa vita? Wamelipuliwa wakiwa kwenye kambi za wakimbizi na makazi binafsi. Unajiita umeokoka na unafurahia Vifo vya watoto? Huko kanisani unaendaga kusali nini na umejaa roho ya kishetani hivi.Kama wewe unakiri ni watoto tuambie watoto walifikaje kwenye uwanja wa vita? Au Magsifi walikuwa wanawatumia kama Kinga? Anyway acha wafe tu maana hakuna namna ya k7lea Magaidi!!
Hao Magaidi walipoua watu 1,200 Oct 07,2023 walifikiri mchezo? Waliua pia watoto sasa imerudi kwao imekuwa Ningwa?Uwanja wa vita? Wamelipuliwa wakiwa kwenye kambi za wakimbizi na makazi binafsi. Unajiita umeokoka na unafurahia Vifo vya watoto? Huko kanisani unaendaga kusali nini na umejaa roho ya kishetani hivi.
Hamas ndio waliua sasa unauaje raia? Au serikali ya Israel nao magaidi? Maana kama wanafanya walichofanya magaidi nao wanakua si magaidi?Magaidi walipoua watu 1,200 Oct 07,2023 walifikiri mchezo? Waliua pia watoto sasa imerudi kwao imekuwa Ningwa?
wewe ni bure kabisa baba yako angekuzaa mbuzi angekuwa anakula supu saa hizi ila ndo hivyo tu nyama ya mtu hailiwiHizi ni baadhi tu ya sababu zinazonifanya nimchague Benjamin Netanyahu:
1. Alirejesha mateka wote.
2. Alimwangamiza Nasrallah.
3. Alimwangamiza Yahya Sinwar.
4. Alimwangamiza Ismail Haniyeh.
5. Alimwangamiza Mohammed Deif.
6. Alivunja muundo wa uongozi wa Hamas na Ali waangamizwa maelfu ya wanachama wake.
7. Alivunja muundo wa uongozi wa Hezbollah.
8. Aliagiza kufanyika kwa operesheni za Shin Bet.
9. Aliharibu vituo vya nyuklia vya utawala wa Kiislamu wa Iran.
10. Aliwaangamiza wanasayansi wakuu wa nyuklia wa utawala wa Kiislamu wa Iran.
11. Aliwaangamiza viongozi wa kijeshi na wa serikali wa kundi la Houthi.
12. Alishambulia maeneo ya kigaidi nchini Qatar.
13. Aliagiza kuchukuliwa kwa udhibiti wa kusini mwa Lebanon.
14. Aliagiza kuchukuliwa kwa udhibiti wa asilimia 63 ya Ukanda wa Gaza.
15. Alipuuza malalamiko ya "Wale wa mrengo wa kushoto" waliotaka kujisalimisha kwa Hamas.
16. Hakukaa bila kuchukua hatua wakati wa zuio la silaha lililowekwa na Biden, bali aliagiza kutwaliwa kwa Rafah na Khan Yunis.
17. Alimwangamiza Gaidi Ayatollah Ali Khamenei.
18. Aliwaangamiza viongozi wa Basij na Walinzi wa Mapinduzi (Revolutionary Guards).
19. Anasonga mbele kwa ushirikiano wa karibu na jeshi la Marekani pamoja na kiongozi wake, na ametufanya kuwa taifa lenye nguvu kubwa kwa kila namna.
20. Alishambulia maeneo ya kigaidi ndani ya Iran huku akidumisha udhibiti kamili wa anga ya Iran.
21. Aliteka kusini mwa Lebanon na kuanzisha eneo la usalama lenye upana wa kilomita 10, kuanzia pwani hadi Mlima Hermon.
22. Alifanya ujenzi mkubwa katika maeneo ya Yudea, Samaria, na eneo la E1.
23. Anataka kusaidia kuwakomboa watu wa Iran.
Orodha inaendelea na kuendelea…
Israel na ulimwengu huru wanamhitaji Mwamba Bibi Netanyahu kuongoza Israel zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Unasema eti:Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas waliua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 wakiwemo Waranzania wenzetu 2 kisha kuwaua kinyama huko Gaza!!
Matokeo yake IDF waliweza kuwaua magaidi 74,498 idadi nzuri kabisa kufa magaidi!!
Usiifanye dunia yote ni wajinga Kama wewe!! Taarifa zilizotekwa waondoke maeneo ya Mstari wa mbele wa Mapigano wao wakakubali watumike na magaidi Kama kinga ili wafe Shahidi wakabidhiwe wale Mabikira 72 huko kuzimu!!!Uwanja wa vita? Wamelipuliwa wakiwa kwenye kambi za wakimbizi na makazi binafsi. Unajiita umeokoka na unafurahia Vifo vya watoto? Huko kanisani unaendaga kusali nini na umejaa roho ya kishetani hivi.
Najua leo hii baada ya Ushindi wa Netanyahu na Chama chake cha Likud sasa hivi Una harissa ovyo kwa chuki zako dhidi ya Wayahudi!!!Kiko wapi!! Niliwaambia Humu Netanyahu hakubaliki Israel mmejionea wenyewe matokeo. Mnapenda kumkuza huyu jamaa lakini huko kwao wanamuona kama Lipumba tu.
Mbwa wewe umeona ushindi wa Netanyahu? Endelea kubwabwaja sasa!!!!Una matatizo ya akili wewe, raia wanakuaje magaidi? Unajua 50,000 kati yao ni watoto chini ya miaka 15??
Kuna watu mna akili mbovu sana. Na hivi kaanguka ajiandae kuburuzwa ICC maana hana kinga yoyote akajibu hao elfu 70 ni magaidi au watoto!!
Kwa hiyo waisrael wenye akili wameondoka wakabaki waisrael wajinga na bado hao waisrael wajinga wanawanathibiti Hamas, Hezbollah, Iran na Houthi kadri wapendavyo? Hao wenye akili wangebaki ingekuaje?lkn zaidi wenye elimu ktk Israel wengi wamekimbia mavitavita yasiokwisha kwenye eneo!!
Kwaiyo Israel yenyewe wamepata hasara nyingi
zikiwemo za
kuondoka wabobezi wa
kielimu
Wafuga Midevu na Majini akili zenu ni Matope kabisa!!!!! Najua sasa hivi Najua unajiharishia ovyo kwa chuki zako za kijinga!!
Mbwa wewe umeona ushindi wa Netanyahu? Endelea kubwabwaja sasa!!!!
Ushindi? Ana 21% pekee alafu unaita ushindi? Una matatizo ya akili weweNajua leo hii baada ya Ushindi wa Netanyahu na Chama chake cha Likud sasa hivi Una harissa ovyo kwa chuki zako dhidi ya Wayahudi!!!
Kwani mwenzetu chanzo chako cha Habari ni kipi? Hebu pitia BBC uone.Ushindi? Ana 21% pekee alafu unaita ushindi? Una matatizo ya akili wewe
Kwani mwenzetu chanzo chako cha Habari ni kipi? Hebu pitia BBC uone.
Hapana ni BBC, wewe leta chanzo chako kuwa chama cha Netanyahu (Likud) kimezidi hiyo 20%?Hiyo 21% umeambiwa na Aljazeera? Endelea kuteseka na Ushindi wa Mwamba na Kiboko cha Magaidi huko Mashariki ya Kati Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu