Kwa nini Wayahudi watamchagua Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu?

Mkuu unafanya kazi nzuri
 
Endelea kuteseka!!! Netanyahu kashinda!!
Kashinda njaaaa !!! mbona hawezi kuunda Serikali ¿¿¿¿¿¿😳

mnabisha vitu vipo wazi ¿¿

ndio kusema wafuasi wenu lazima wadanganywe ndio wanaelewa kinyume chake
wanakwita msaliti kibalaka wa Waraabu au 🤠

Mana mshindi ni yule mwenye kuweza kuunda Serikali tena peke yake ❗

sasa mtwambie kiapo anakula lini uyo Netanyahu ✍️
 
Endelea kuharisha tu!! Netanyahu anaongoza kwa 53% dhidi ya mpinzani wake ambaye Ana 48%
 
Nyuzi zako zinakosa sana wachangiaji siku za karibuni. Hivi tukiitoa israel kwenye equation hauna michango unayoweza kutoa hapa jukwaani?
Wewe wabwabwaja!! Kama huna mchango ni wewe tu!!!
 
Utajinyonga siku mume wako Neta akipigwa chini
Najua sasa hivi unateseka sana juu ya Netanyahu!! Safari hii utaharisha sana mbwa wewe!!
 

Attachments

  • Supporters_welcome_Israeli_Prime_Minister_Benjamin_Netanyahu_at_his_Likud_party’s_campaign_hea...mp4
    2.9 MB
  • שנה_טובה_ושמחה_!_#שנהטובה_#שמחה_#מוזיקה_#זמר_#פייטן_.mp4
    6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…