Kwa nini wenye majina ya "Ayo" wengi wanakuwa na vipawa , mvuto , akili na ushawishi ?

Kwa nini wenye majina ya "Ayo" wengi wanakuwa na vipawa , mvuto , akili na ushawishi ?

Sasa yule kiazi Juma Ayo wa pale crown fm ana akili na kipawa gani?
 
Mzuka Wana Jamvi

Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo

Utangazaji MillardAyo
Muimbaji DullAyo
Kwenye Bible ZebedAyo
Kabila WakaldAyo
Mchezaji mpira AdebAyo

Je una maoni yapi ?

Uzi teyari
😁😁😁Kwa kuongezea kwa uchache Kuna MAMA AYOO a.k.a MAMA YEYOO
 
Aiseeee! We mzyeye ukishapikiwa makande mabachi na mkeo nyumbani kwenu huwa hueleweki kabisa, umekaa hovyohovyo tu kama unangojea hela za mama sa100 kwenye kampeni.
 
Unamaanisha kina Mathayo, Zebedayo, Bathlomayo etc?
 
Back
Top Bottom