Yaani huyo papa kawaachia mzigo mzito wakristo ambao mpk leo unawatesa.Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo;
vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote.
Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa
Sasa najiuliza;
1. Kama kuoa wake wengi haimpendezi Mungu, kwa nini Yesu hakulikemea
2. Dunia tangu zamani wanawake ni wengi kuliko wanaume; Papa Paul alipopitisha hii sheria alikusudia hao wanawake wengine waolewe na nani?
3. Dunia inapita kipindi kigumu ambapo single mothers, watoto wa mitaani nk ambapo ukifikiria vizuri unaweza kuona kuwa uwepo wa wanawake wengi wasio kuwa na wanaume inaweza kuchangia.
4. Nafikiri tunahitaji Papa mwingine aangalie vizuri hii sheria kwani inawezekana Papa Paul hakuwa amefikiria vizuri kwa kuangalia miaka mingi ijayo.
Ningekuwa mzungu ningesema ''Your so funny""Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa
Aisee kasome Tena bibliaNimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo;
vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote.
Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa
Sasa najiuliza;
1. Kama kuoa wake wengi haimpendezi Mungu, kwa nini Yesu hakulikemea
2. Dunia tangu zamani wanawake ni wengi kuliko wanaume; Papa Paul alipopitisha hii sheria alikusudia hao wanawake wengine waolewe na nani?
3. Dunia inapita kipindi kigumu ambapo single mothers, watoto wa mitaani nk ambapo ukifikiria vizuri unaweza kuona kuwa uwepo wa wanawake wengi wasio kuwa na wanaume inaweza kuchangia.
4. Nafikiri tunahitaji Papa mwingine aangalie vizuri hii sheria kwani inawezekana Papa Paul hakuwa amefikiria vizuri kwa kuangalia miaka mingi ijayo.
Inaonekana ujawahi kuisoma biblia na kufuatilia habari kuoa,Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo;
vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote.
Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa
Sasa najiuliza;
1. Kama kuoa wake wengi haimpendezi Mungu, kwa nini Yesu hakulikemea
2. Dunia tangu zamani wanawake ni wengi kuliko wanaume; Papa Paul alipopitisha hii sheria alikusudia hao wanawake wengine waolewe na nani?
3. Dunia inapita kipindi kigumu ambapo single mothers, watoto wa mitaani nk ambapo ukifikiria vizuri unaweza kuona kuwa uwepo wa wanawake wengi wasio kuwa na wanaume inaweza kuchangia.
4. Nafikiri tunahitaji Papa mwingine aangalie vizuri hii sheria kwani inawezekana Papa Paul hakuwa amefikiria vizuri kwa kuangalia miaka mingi ijayo.
Kuoa wake wengi ni Ukatiri na ni kitendo cha kukosa ustarabu. Lakini wanatwambia Mwanaume kumlala mwanaume mwenzake ni Kuwa Open Minded.....wasifiana kabisa, eti he has or she has open mind.....ni ustarabu.vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote.
Muislamu haswaa akiwa na uwezo ata kwa siku moja tu anakamilisha ndoa 4Mbona waislam wengi Sana wameoa mke mmoja,...Jaribu kutafiti utajua kuoa wake wengi Kwa waislam imebaki kwenye vitabu tu...Mimi naishi mtaa wenye waislam wengi Sana na Wewe tafiti...Kuoa mke mmoja ni kitu çommon Sana hata ukiacha dini.
Nimesoma Biblia kwa takriban 85% nikiwa shuleni/chuoni na nikiweka vifungu vinavyo kinzana ndani ya Biblia ambapo kitu kimoja kimeongelewa tofauti kabisa na mwanafunzi mwengine utashangaa....Inaonekana ujawahi kuisoma biblia na kufuatilia habari kuoa,
Ndio maana wanakuja kwanza na hoja mfu za kuonesha baadhi ya maandiko ya Biblia ni feki ili watakapo-introduce mada kama hizo wakuambie; look, Injili ya Mathayo Ina kasoro nyingi!Aisee kasome Tena biblia
Soma Mathayo 19:8- na kuendelea utaelewa
Wanaisoma biblia kimsikitimsikiti,uzuri kwa sasa hakuna mwenye akili timamu anayesoma biblia ataiacha awe muislamu dini ya juzi juziNdio maana wanakuja kwanza na hoja mfu za kuonesha baadhi ya maandiko ya Biblia ni feki ili watakapo-introduce mada kama hizo wakuambie; look, Injili ya Mathayo Ina kasoro nyingi!
Anti-Christ Covax ameipinga sana Injili ya Mathayo kwa ajenda za siri kama hizo. Nyaraka za Paulo zimepingwa sana kwa ajenda za siri kama hizo pia - maandalizi ya ushetani ujao.
Thanks kwa watumishi wa Yesu wasio na faida hamis77 na Setfree wamejitahidi sana kuilinda imani dhidi ya wafuasi wa shetani humu!
Mkuu acha propaganda zisio kua na mashiko kuhamasisha wanna jf wajua ukweli wewe unaona ni kua ant Christo kweli, Bibulia Ina kinzana sana na sio ufunuo wa roho mtakatifu kama wanavo sema.Ndio maana wanakuja kwanza na hoja mfu za kuonesha baadhi ya maandiko ya Biblia ni feki ili watakapo-introduce mada kama hizo wakuambie; look, Injili ya Mathayo Ina kasoro nyingi!
Anti-Christ Covax ameipinga sana Injili ya Mathayo kwa ajenda za siri kama hizo. Nyaraka za Paulo zimepingwa sana kwa ajenda za siri kama hizo pia - maandalizi ya ushetani ujao.
Thanks kwa watumishi wa Yesu wasio na faida hamis77 na Setfree wamejitahidi sana kuilinda imani dhidi ya wafuasi wa shetani humu!
Aisee kasome Tena biblia
Soma Mathayo 19:8- na kuendelea utaelewa
Hoja ni kuwa Je Yesu alikataza kuoa Mke zaid ya mmoja?.
Hapa Yesu anaongea.
Mathayo 19:4-5
"Yeye aliyewaumba hao kutoka mwanzo aliwafanya mwanamume na mwanamke na kusema, ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Hivyo Yesu alikataza.
Pamoja na dhima ya kujaza dunia Mungu hakumuumbia Adamu wanawake kadhaa, jambo ambalo lingesaidia katika kutimiza amri ya kuijaza dunia.
Bali Mwanamke mmoja.
1 Wakoritho 7:2.
"Kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.”
Kwa hiyo hao wanawake takribani milioni 20 duniani, wataishi maisha yao yote bila kuolewa au Mungu alikosea kuwaumba wawe wengi?
Idadi ya wanawake ni weng zaid duniani . Kwasababu nying na Risk ambayo inafanya wanaume wafe mapema.
Ila Mungu ameumba kila mwanamke na mwanaume wake.
Pia wanawake wakishafika age fulan hawaon tena haja ya kuolewa. Ndivyo walivyoumbwa.
Ndio maana mjane wa miaka 60 kwa mwanaume unaweza kuoa wakat mjane wa miaka 60 mwanamke hataman kuolewa tena.
Unasema, ambavyo sivyo, kwamba Papa Paulo ndiye alitoa agizo la kuoa mwanamke mmoja tu. Ni Papa Paulo yupi huyo unayemzungumzia? Kama unamaanisha Mtume Paulo aliyekuwa akiwaua Wakristu na baadaye akaja kuongoka akiwa njiani kwenda Damascus kuendeleza kazi hiyo ya kutaka kuliangamiza Kanisa, huyo hakuwahi kuwa Papa. Petro ndiye alikuwa Papa wa kwanza kuanzia Mwaka 33 A.D. mpaka Mwaka 67 A.D. na akafuatiwa na Papa Linus aliyekuwa Papa tangu Mwaka 67 A.D. hadi Mwaka 76 A.D. Hadi leo hii kumekuwa na Mapapa 6 wenye jina la Paulo. Wa kwanza alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Mei 757 hadi tarehe 28 Juni 767. Papa Paulo wa sita na wa mwisho kwa jina hilo alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Juni 1963 hadi tarehe 6 Agosti 1978. Wote hawa hawakutoa agizo hilo. Kwa sasa naishia hapa kwa kuwa huo ndio ulikuwa msingi wa hoja yako ya kuoa mke mmoja..Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo;
vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote.
Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa
Sasa najiuliza;
1. Kama kuoa wake wengi haimpendezi Mungu, kwa nini Yesu hakulikemea
2. Dunia tangu zamani wanawake ni wengi kuliko wanaume; Papa Paul alipopitisha hii sheria alikusudia hao wanawake wengine waolewe na nani?
3. Dunia inapita kipindi kigumu ambapo single mothers imekuwa kama fasheni, watoto wa mitaani wamejaa mijini, na hata magonjwa ya ngono yameongezeka nk ambapo ukifikiria vizuri unaweza kuona kuwa uwepo wa wanawake wengi wasio kuwa na wanaume inaweza kuchangia.
Mfano: Ukienda mji kama Mombasa ambapo Wakristo sio wengi, watoto wamitaani na single mother ni wa kutafuta ILA ukienda miji kama Kisumu, Nairobi nk ambapo wakristo ndio wengi, watoto wa mitaani na single mother ni kwa mamia
4. Nafikiri tunahitaji Papa mwingine aangalie vizuri hii sheria kwani inawezekana Papa Paul hakuwa amefikiria vizuri kwa kuangalia miaka mingi ijayo.