Kwa nini Yesu haku kataza kuoa wake wengi?

Sijui zinahitajika sessions ngapi watu waelewe mtu aitwaye Yesu ni myth!
Ni fiction story zenye malengo ya kisiasa na kidini kwa pamoja.
Hata hivyo, hekima na busara za script ile zimesaidia sana kum contain mwanadam (kiumbe mgumu sana kutawalika).
...Kuiga mema sio dhambi..
 
Hili suala kwa wakristo lipo kwa mujibu wa sheria ya Nchi.
Sheria ya Ndoa ya Tanzania inakataza hivyo hapa cha msingi wa kuwalaumu ni waliotunga hiyo sheria ya ndoa.
Kama inakera inabidi wanaoipinga wakaipinge kisheria ni jambo linalowezekana.
Kama kuna watu walipinga umri wa kuolewa usiwe miaka 15 na ikakubaliwa Kama sheria ilivyokuwa inaelekeza ma kubadilishwa kuwa miaka 18 hata hilo linawezekana.
Sheria ya Tanzania ya ndoa ndio inakataza ndoa za wakristo kuwa zaidi ya mke mmoja.
Tuache kuzunguka mbuyu ma kulaumu kanisa.
 
Kiuhalisia w.me ndo wanapenda sex kuliko w.ke acha kudanganya
Je umesikia ripoti ya Hivi karibuni kwamba wanawake wanacheat kushinda wanaume?? Kwa mawazo yangu sex ni technic,,usipojua kumkojoza mwanamke Kwa technic Hadi awe Hana hamu tena Kwa kizazi hiki kisicho na bikra mwanamke anaweza akacheat,,, Umewahi kuwa umechoka na mwanamke bado anahitaji?? Mkeo alipokuwa mjamzito hujawahi kutafakari upya stamina yako ya kufanya sex kwa vile mahitaji ya kufanya sex kuongezeka?
 
Paulo amefanikiwa kutapeli watu yani ametengeneza dini mpya kabisa na kuweka mafundisho yake. Constantine ndo akaja kupigilia msumali.

Someni historia ya ukristo vizuri na pia someni bibilia vizuri mtaujua ukweli
 
Ni kama vile walikuwa na ajenda ya kufukuana mitaro wanaume kwa wanaume kwa uficho kuwa hawaruhusiwi kuoa.
Ndio tumeona madhara yake baada ya skendo kubwa ya makanisa duniani kugundulika kuwa na matendo ya unyanyasaji wa kingono kwa vijana wa kiume mpaka papa akaomba msamaha lakini mpaka leo kesi hizo zinaemdelea duniani kote.
Tatizo likawa padri akituhumiwa alikuuwa anahamishiwa nchi za afrika ambako hivi vitendo vingi vimetokea lakini hakuna aliechukua hatua.
 
Ni kwa sababu hakuwa mzushi kama Paulo aliyekataza kutokana naye kutokuwa na mke wala watoto.
 

Ushoga ulikua unakubalika kwenye jamii za Wagiriki na Waroma. Hivo waliuchonga ukristo ili usitofautiane sana na mienendo yao ya kimaisha.

Fuatilia historia vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…