Kwa njia za kawaida, uwezo huo hauna. Ila kiheshima, eti unao….

Naisogeza hapa chini na wengine waione.

Nimesoma huko juu kwamba hii ina fananishwa kama rushwa fulani.
 
Acha chuki wewe..
Kuna chuki au ukweli mtupu! Kuhusu kufeli f4 alisema mwenyewe hata utarishi alisema mwenyewe. Tusimlaumu lakini! |Tuwalaumu marais wanaochagua wagombea wenza vilaza ili wasipitie changamoto!
 
 
Honoris causa jamani angalau uwe na kadegree kamoja jamani kha!
 
Nyerere kaingiaje. Usimfananishe Mwl na vitu vya kijinga
 
Sina haja na kupewa heshima ya uongo.

Samia kupitia darasani hawezi kupata PhD!

Hivi keshawahi hata kuandika makala yoyote ile [hata kwa kutumia ghost writer] iliyowahi kuchapishwa hata kwenye gazeti la Nipashe?
Wewe mwenye akili una Phd ngapi za kusomea?
 
KUWA RAISI NI PhD TOSHA!
Marejeo, maandiko, tafiti zitafanywa kuhusu namna ulivyouendesha uraisi wako.
Unadhani ni rahisi kuwa RAISI hapa duniani ?
Kama ilivyo kazi kuipata PhD ndivyo ilivyo kazi kuwa raisi na kudumu kwenye huo uraisi.
Navyoamini raisi ni knowledge producer misingi yake ya uongozi inaweza unda falsafa mpya ya kuishi, kuamini nk.
Don't underate her.
Nilipokuwa Chuo nilisoma PhD thesis kazaa.
Sikuona maajabu ya mtu wa digrii kuweza kufanya PhD.
Wewe bado unafikra za kizamani kuona elimu ni special kwa watu fulani. Dunia imebadirika.
Naamini michrpuo hio ya art kufika PhD sio kazi ngumu lsbda ingekuwa natural science na engineering mfano PhD za chemistry, engineering, computer science sio za kila mtu.
 
Sina haja na kupewa heshima ya uongo.

Samia kupitia darasani hawezi kupata PhD!

Hivi keshawahi hata kuandika makala yoyote ile [hata kwa kutumia ghost writer] iliyowahi kuchapishwa hata kwenye gazeti la Nipashe?
 

Attachments

  • 5582766-e9af0949da03de6cad5acbd3aa907c38.mp4
    436.1 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…