Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

mnaita wew na familia yako mbona watu tuko njombe hatujawahi skia labda kama ww na mamazako wadogo Acha kutuaibixha wakaz wa njombee
 
mnaita wew na familia yako mbona watu tuko njombe hatujawahi skia labda kama ww na mamazako wadogo Acha kutuaibixha wakaz wa njombee
Mbona mm nipo njombe na najua kuwa smart fon kwetu zinaitwa simu za kupyatila,umemjibu vibaya mtu wa watu kwa lipi?? Na unaaibishwa kwa lipi?? Mbona mm niliye njombe sion ni kwa namna gan nimeaibishwa?? Mama zake wanahusika vipi na alicho kiandika?? Punguza mihemko,tumia na kabusara kidogo, kama hukupendezwa na alicho kiandika hukulazimishwa kuchangia.
 
mnaita wew na familia yako mbona watu tuko njombe hatujawahi skia labda kama ww na mamazako wadogo Acha kutuaibixha wakaz wa njombee
Kwa bahati mbaya sina mama wadogo,...Labda uwe wewe,..Harafu mbona hakuna tusi hapo,nakudharirisha kivp? KUPYATILA ni neno la kibena,maana yake SLIDE kwa lugha iliyokuja kwa meli,ikaondoka kwa ndege
 
Nilikuwa wilaya ya mbalali, Rujewa, Ubaruku, mhanga, Igawa.Nililisikia hili neno pia.
 
Nilipokuwa njombe nilisikia Hilo neno KUPYATILA. Kuna neno lingine sijawahi kulisikia kokote zaidi ya huko,mtu akikuongeza kitu katika ulichonunua wanaita LUTITU yaani nyongeza
Wewe Jembekillo huyo mzee hapo nyuma kwenye avatar yajo anakufanyaje hivyo?
 
Muasisi Edo bashiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…