pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
Tumezoea kuna misamiati iliyoozoeleka katika mazingira fulani,...mfano humu kuna neno,ukilitumia watakuelewa membaz wa humu tu,...Twambie huko uliko simu za touch mnaziitaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mm nipo njombe na najua kuwa smart fon kwetu zinaitwa simu za kupyatila,umemjibu vibaya mtu wa watu kwa lipi?? Na unaaibishwa kwa lipi?? Mbona mm niliye njombe sion ni kwa namna gan nimeaibishwa?? Mama zake wanahusika vipi na alicho kiandika?? Punguza mihemko,tumia na kabusara kidogo, kama hukupendezwa na alicho kiandika hukulazimishwa kuchangia.mnaita wew na familia yako mbona watu tuko njombe hatujawahi skia labda kama ww na mamazako wadogo Acha kutuaibixha wakaz wa njombee
Kwa bahati mbaya sina mama wadogo,...Labda uwe wewe,..Harafu mbona hakuna tusi hapo,nakudharirisha kivp? KUPYATILA ni neno la kibena,maana yake SLIDE kwa lugha iliyokuja kwa meli,ikaondoka kwa ndegemnaita wew na familia yako mbona watu tuko njombe hatujawahi skia labda kama ww na mamazako wadogo Acha kutuaibixha wakaz wa njombee
sorry imsu=simu...Nimeshindwa ku-edit tittle,nielekezeniImsu ndio nini mkuu
Kwani kuna simu ambayo haina tochi? iPhone yangu ina tochi pia.sorry,nataka ku-edit heading, nimekosea imsu = simu
Siyo tochi, amesema touchKwani kuna simu ambayo haina tochi? iPhone yangu ina tochi pia.
Kumbe tachi, basi sawa.Siyo tochi, amesema touch
Wewe Jembekillo huyo mzee hapo nyuma kwenye avatar yajo anakufanyaje hivyo?Nilipokuwa njombe nilisikia Hilo neno KUPYATILA. Kuna neno lingine sijawahi kulisikia kokote zaidi ya huko,mtu akikuongeza kitu katika ulichonunua wanaita LUTITU yaani nyongeza
haaa haaa haaa mkuu umejuaje?Wewe Jembekillo huyo mzee hapo nyuma kwenye avatar yajo anakufanyaje hivyo?
Muasisi Edo bashiriMbona mm nipo njombe na najua kuwa smart fon kwetu zinaitwa simu za kupyatila,umemjibu vibaya mtu wa watu kwa lipi?? Na unaaibishwa kwa lipi?? Mbona mm niliye njombe sion ni kwa namna gan nimeaibishwa?? Mama zake wanahusika vipi na alicho kiandika?? Punguza mihemko,tumia na kabusara kidogo, kama hukupendezwa na alicho kiandika hukulazimishwa kuchangia.
kitambo sana hata wakati ntakapokuwa narudi ntavizia msimu wa ulakaKupyatila, kupyatila umenikumbusha ulanzi
Kumbe Mnyama ndio muasisi,...hongera zake,maana msemo unaenea hatari.Muasisi Edo bashiri
Unapga upi mkuu...Nyamtuta,mkangafu, mdindifu? au .....kitambo sana hata wakati ntakapokuwa narudi ntavizia msimu wa ulaka