Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

Hata ule usemi wa vyuma vimekaza huku njombe sisi tunasema mbao imekaza,vyuma viko mchuchuma ludewa.
 
Thanks...Naona kuna mtu ka-edit tittle, hv tittle wanaoedit ni ma-admin tu au?....
 
Mama yangu siku hiyo ananiambia.

"Be mdimi ndisaha simu ya kupyatila ngita yakho"

Ikamfikia tecno y4.
Kupeleka kwa watu wamuwekee laini hataki anamsubiri mwanae yeyote aende akamuwekee
Hahah....Iwona giva mahidzi agho, ana imani na mwanae tu.Wengi wapo ivo,mi mzee wangu,Phillips lake lilikufa,kumnunulia mpya nokia ya tochi six button N-ngapi cjui hataki,anataka phillips,ikabidi niingie gharama mara 2
 
Hata ule usemi wa vyuma vimekaza huku njombe sisi tunasema mbao imekaza,vyuma viko mchuchuma ludewa.
Yah huko ndio tunaita kukua kwa lugha...Na njombe yetu kwa mbao,tumejaaliwa....Mungu katuongezea Neema nyingine...Parachichi,ndo hbr ya mjini....Ukichukua mbao+viazi+parachichi=utajiri mkubwa
Basi sawa
hapo ulipo...Touch mnaziitaje kimtaamtaa?
 
Long time kitambo njombe, mmenifanya muda wote natabasamu na hii thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…