Kwa Njombe simu za touch tunaita za KUPYATILA, kwenu mnaziitaje?

Hahaha labda Nazareth au Uwemba kabïsa...tangu Njombe nimeondoka ni miaka 11 sasa ila nayakumbukà maeneo
Yah ina maeneo ambayo majina yake baadhi ni vigumu kusahaulika...Mfano uwemba,luponde,lupembe,kipengere,mdandu,nyumbanitu,...Nk
 
Zengerendete kumekucha cku hz....Bonge la town na jina wamebadili wanaita mtaa wa KAMBARAGE....labda jamaa atakuwa wa magoda huko!
Hahaa zengerendete[emoji23]hili jina lilikua linanifurahisha.Na yale matunda yao wanaita misuku sijui[emoji23][emoji23]ya njano ndani
Pia kuna kijiji kilikua kinasifika kwa uchawi unaambiwa ukienda huko kuna kuku weusi tuu na huwezi kumuiba hata mmoja(Jina la kijiji nishalisahau)
 
Sio zengelendete...Ni Nzengelendete, yale matunda yanaitwa mikusu sio misuku,....Kijiji chenye kuku weusi tu kinaitwa NYUMBANITU maana yake nyumba nyeusi kwa kiswahili,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…