Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.
Anatafuta Kick kwa hiyo wale ambao wanapendwa na watu yeye ndio anawakandia
 
Kutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.

Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?

Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?

Hana adabu kabisa.
Hizi akili ndio tatizo Tanzania
 
Ww ndio ukome mana povu linakutoka hadi aibu


Huelewi lolote.......

Shabikia muziki wake vyovyote utakavyo

Mimi siyo mpenzi wa muzi wenu however mwambia afanye uwakilishi wa wa kundi lenu asiingize dini isiyo mhusu

Hoja hapa abaki kwenye jukwaa lenu asivuke kuja madhabahuni fulstop kunajisi asiyoweza kuyatenda hata kwa 1%
 
Mmh ina maana thread nzima wachangiaji wote,wewe tu ndo mkristo? Wanaume wa kikristo hawanaga michepuko?
Hawana watoto wengi kwa mama tofauti?

Wapo wasanii wa kikristo mfano ney wa mitego hebu angalia ana watoto wangapi,kalala na wangapi,ana wanawake wa ngapi.
CHUKI ZAKO KWA DAI USIZIPELEKE KWENYE UDINI.

ALIYEKWAMBIA DAI KAIMBA HUO WIMBO KWA AJILI YA MAFUNDISHO YA KIKRISTO MWAMBIE KAKUDANGANYA AKUKARIRISHE UPYA MAFUNDISHO ANAYOKUPA. KAMA VIPI KASIKILIZE KWAYA BANA POOOOVUUUUUU
 
Una dini?
 
Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
Ulianza kabla ya hapo, tokea Domo alivyopiga chini wema na kuchukua mtoto wa kiGanda.
 
Mkuu kasikilize tu kwaya ndo inakufaa zaidi
 
Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
Mkuu huyo dada kabla ya Insta alikua na blog yake na alikua anamponda huyo dogo hiyo ya Makonda ni juzi tu, nadhani sababu ni kummwaga na kumponda Wema miaka ya nyuma
 
Bila shaka Mange anajiona Staa ambaye hajapitiwa na zile harakati za Mond za kuwagusa gusa mastaa wa kike, so Mange anajiona anamkosi fulani....

Hahahaa najaribu kuwaza!!!
 
Mkuu kasikilize tu kwaya ndo inakufaa zaidi

Akiheshimu matakwa ya fani yake kwa tungo zisizokwaza wengine ataheshimika tu

Lazima aweke mstari ilikuheshim imani za wengine asiwe

-Kikwazo
-Chukizo

Atapendwa tu.
 
Maskini mange hadi nakuhurumia ndo umekuja Jf kumjibu mleta mada kwa style hii
Huelewi maana halisi ya neno msanii

Huyo mshenzi ajuwe ukristu unahubiri mke mmoja kwa mume mmoja

Huyu malaya anayezaa hovyo mitaani anatufundisha nini kwa kutumia maneno yetu matukufu kuhalisha ujinga na uasherati wake?
 
Na akili za kuhubiri anga zisizozake ndio akili zenu?

Kwanini asifanye muziki kwa utaratibu wawahusika? Huyu anaingiaje madhabahuni?
Yaani kusema Halelujah ndio kuhubiri??
Wee jamaa ni mpuuzi kweli kweli..
 
Unaifahamu iliyokua blog ya mange u turn?kama huifahamu basi umeanza miliki smartphone kipind cha ukuu wa mkoa wa makonda
Thibitisha hapa uongo wangu,weka ushahidi wapi alimponda kabla ya kuimba acha nikae kimya..!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…