Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi akili ndio tatizo TanzaniaKutumia maneno ya dini isiyo yako popote nikukosa heshima nanidham kwa wenye dini husika.
Anaudhalilisha ukristo kwa faida ya dinigani?
Kwanini ameukosea adabu ukristo? Au hadhani anawadhalilisha wapenzi wake wa upande huo?
Hana adabu kabisa.
Ww ndio ukome mana povu linakutoka hadi aibu
Anawanawake wangapi na
- anashinda na wangapi
-analala nawangapi na
-mezaa nawanganpi? Ukristo unahubiri mme mmoja kwa mke mmoja.
Amewapenda wangapi na tunajifunza nini?
Msaani ni kioo cha jamii.... Huyu anafundisha nini? Ufuska...halafu anataka ukristo ubaliki ushenzi wa tungo za udhalilishaji kwa sifa za kijuha?
Chameleon aliimba Kanisani kabisayeye kasema neno haleluja, wapo wanavaa na misalaba kabisa na sote tunafurahia. Ndio walewake chuki mshindo.
ACHA NIKAE KIMYA na NANA upi MOND alianza kuutoa??Thibitisha hapa uongo wangu,weka ushahidi wapi alimponda kabla ya kuimba acha nikae kimya..!
Una dini?Huelewi lolote.......
Shabikia muziki wake vyovyote utakavyo
Mimi siyo mpenzi wa muzi wenu however mwambia afanye uwakilishi wa wa kundi lenu asiingize dini isiyo mhusu
Hoja hapa abaki kwenye jukwaa lenu asivuke kuja madhabahuni fulstop kunajisi asiyoweza kuyatenda hata kwa 1%
Ya watu wasiojulikanaKuna msg ipi tofauti ya mapenzi unataka kuisikia?
Bichwa kubwa akili size ya diclopa.....Ya watu wasiojulikana
Ulianza kabla ya hapo, tokea Domo alivyopiga chini wema na kuchukua mtoto wa kiGanda.Yaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
Huelewi lolote.......
Shabikia muziki wake vyovyote utakavyo
Mimi siyo mpenzi wa muzi wenu however mwambia afanye uwakilishi wa wa kundi lenu asiingize dini isiyo mhusu
Hoja hapa abaki kwenye jukwaa lenu asivuke kuja madhabahuni fulstop kunajisi asiyoweza kuyatenda hata kwa 1%
Hizi akili ndio tatizo Tanzania
Kuna msemo wa kiswahili unasema 'hasidi hana sababu'. Huyu atakuwa na hasad tu. Anahusudu neema za wenzake.Haters just hate: They don't ha any reason to do so but they just hate. Nimesikitika sana kuona watanzania tunafanyiana Uzandiki wa wazi wazi ,inasikitisha sana
Na nishaliongelea hilo kitambo kwny post za mwanzo kwny hii threadACHA NIKAE KIMYA na NANA upi MOND alianza kuutoa??
Mkuu huyo dada kabla ya Insta alikua na blog yake na alikua anamponda huyo dogo hiyo ya Makonda ni juzi tu, nadhani sababu ni kummwaga na kumponda Wema miaka ya nyumaYaani kuwa shabiki wa diamond ndo kuwa na akili..!!? Ugomvi wa mange na diamond ulianza baada ya diamond kutoa wimbo wa kumtetea makonda"acha nikae kimya". Hapo ndo ugomvi ulianzia..!
Mkuu kasikilize tu kwaya ndo inakufaa zaidi
Huelewi maana halisi ya neno msanii
Huyo mshenzi ajuwe ukristu unahubiri mke mmoja kwa mume mmoja
Huyu malaya anayezaa hovyo mitaani anatufundisha nini kwa kutumia maneno yetu matukufu kuhalisha ujinga na uasherati wake?
Yaani kusema Halelujah ndio kuhubiri??Na akili za kuhubiri anga zisizozake ndio akili zenu?
Kwanini asifanye muziki kwa utaratibu wawahusika? Huyu anaingiaje madhabahuni?
Thibitisha hapa uongo wangu,weka ushahidi wapi alimponda kabla ya kuimba acha nikae kimya..!