Kwa nn mange anamwandama sana diamond kuna nini nyuma ya pazia?

Status
Not open for further replies.
Wewe frola mbasha amekufundisha nini? Kwa hiyo kwa akili yako halelujah ni neno la kikristo au lugha ya kiebrania? Kazi kweli.
 
Flora mbasha kamwacha mumewe na kuzaa na mwanaume mwingine mbona sijaona povu lako popote? Na bado anaimba kwaya, Sepa kuleee huna lolote wivu tu
Akiheshimu matakwa ya fani yake kwa tungo zisizokwaza wengine ataheshimika tu

Lazima aweke mstari ilikuheshim imani za wengine asiwe

-Kikwazo
-Chukizo

Atapendwa tu.
 
Mange atakua ana shida,... Uwez chukia kila kitu, iyo ni dalili ya kujichukia mwenyew, its a psychological problem
 
Tangu nimfahamu mange sijawahi kuona halakati za kweli zaidi ya chuki tu..hata kwenye swala LA srikali kuna mapungufu lakini sio makubwa kama huyu bibi anavyo waaminisha watanzania wasiojua kufwatilia mambo.
 
Hizo harakati alizonazo ni baada ya magu kumnyima cheo,alitegemea kupatiwa hata ukuu wa wilaya kama zawadi kwa kampeni kubwa aliyoifanya mtandaoni 2015. Ukifatilia kwa makini anayetukanwa sana na mange ni magufuli kuliko mawaziri wake au viongozi wengine wa ccm.
 
Kweli
Tangu nimfahamu mange sijawahi kuona halakati za kweli zaidi ya chuki tu..hata kwenye swala LA srikali kuna mapungufu lakini sio makubwa kama huyu bibi anavyo waaminisha watanzania wasiojua kufwatilia mambo.
 
Unaifahamu iliyokua blog ya mange u turn?kama huifahamu basi umeanza miliki smartphone kipind cha ukuu wa mkoa wa makonda
Ile blog ilikua ni shida ni xxxx+ rated, dayummm uyo manzi katoka mbali na ugonjwa wake
 
Ndo maana kachizika,ile blog aliitumia kudanganya wengi,alijikweza sana

Ila mkuu mbona haikua na x mule,au waongelea blog gani?ile ilikua ya kuonyeshea mashauzi yake kisa ni muke ya muzungu
Ile blog ilikua ni shida ni xxxx+ rated, dayummm uyo manzi katoka mbali na ugonjwa wake
 
Usichukulie maisha siriaz hivyo we mkuda
 
Ww ni mtu mzima usiyekuwa na akili timamu so kaa pembeni. Usijikute mkiristo wakati mzandiki wa kiwango cha lami.....

Na kwa hiki anachokifanya ujuwe anapoteza imani kwa walio wakristu

Tetea..... Ujuwe muda utasema na atakumbuka shuka asubuhi.
 
1. Chuki humuumiza anaeitunza moyoni mwake.

2. Kwa kuuponda wimbo anafanya watu waufuatilie,matokeo anaupa promo,views youtube.

3. Kachangia rekodi ya kiba hata isiishi mda mrefu,imerudi kwa mwenye nayo.
 
Ndo maana kachizika,ile blog aliitumia kudanganya wengi,alijikweza sana

Ila mkuu mbona haikua na x mule,au waongelea blog gani?ile ilikua ya kuonyeshea mashauzi yake kisa ni muke ya muzungu
Wew kuna zingine zilikupita, alikua anazungumzia maisha ya wanawake wa tz uk, wanavyoliwa kinyume London kuna mambo meng alizungumzia mule, akuanza jana ile blog labda we umesoma juzi,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…