mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Wewe frola mbasha amekufundisha nini? Kwa hiyo kwa akili yako halelujah ni neno la kikristo au lugha ya kiebrania? Kazi kweli.Anawanawake wangapi na
- anashinda na wangapi
-analala nawangapi na
-mezaa nawanganpi? Ukristo unahubiri mme mmoja kwa mke mmoja.
Amewapenda wangapi na tunajifunza nini?
Msaani ni kioo cha jamii.... Huyu anafundisha nini? Ufuska...halafu anataka ukristo ubaliki ushenzi wa tungo za udhalilishaji kwa sifa za kijuha?