Kwa nondo zile za Lissu siioni Katiba Mpya!

Ni mjinga na mwendawazimi tu atamsikiliza Mropokaji na mkurupukaji na mtu wa ndimi mbili Kama lissu,Hakuna wa kumuamini Wala kumuunga mkono,ndio maana hakuna anayefuata lolote litokalo katika mdomo wake usio na chujio Wala muunganiko na ubongo wake
Hayo nimaoni yako
 
Nimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili.

Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe, Kamongo hakuweza furukuta mbele ya makombora ya Lissu nimewaza sana kuhusu Samia.

Japo taarifa za ndani zinadai mama ameshalegea lakini bado inanipa wasiwasi mkubwa kama Samia bado ana hamu na mchakato wa katiba mpya!

Lissu anarusha makombora nyie sidhani kama Samia anapata usingizi, nawaza tu anaweza kususa hata urais wenyewe siku za usoni.

Tunakoelekea ni kubaya sana na hakuna matumaini ya kuzaliwa katiba mpya kama CCM na mawakala wao wanauza nchi namna hii.

Pia soma: Tundu Lissu: Rais samia amefanya kitu cha kijinga kuliko marais wote wa Nchi hii
Huyo mshenzi ataishia kuusikia Urais kabulini na vile hana staha ya maneno
 
Nimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili.

Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe, Kamongo hakuweza furukuta mbele ya makombora ya Lissu nimewaza sana kuhusu Samia.

Japo taarifa za ndani zinadai mama ameshalegea lakini bado inanipa wasiwasi mkubwa kama Samia bado ana hamu na mchakato wa katiba mpya!

Lissu anarusha makombora nyie sidhani kama Samia anapata usingizi, nawaza tu anaweza kususa hata urais wenyewe siku za usoni.

Tunakoelekea ni kubaya sana na hakuna matumaini ya kuzaliwa katiba mpya kama CCM na mawakala wao wanauza nchi namna hii.

Pia soma: Tundu Lissu: Rais samia amefanya kitu cha kijinga kuliko marais wote wa Nchi hii
Ni wajinga tu wanaamini Tanzania inaweza kupata katiba Mpya inayofikirika!
 
Maza uwezo mdogo ana. Na hili liwe fundisho mambo ya cheo cha makamu wa raisi hakina maana
Hakika. Kama tutapata katiba mpya, muungano uwe wa serikali tatu au moja, na cheo cha makamu wa rais kiondolewe.

Ikitokea nafasi ya rais ikawa wazi kwa namna yoyote, uchaguzi ufanyike kujaza nafasi ndani ya miezi mitatu.
 
Hii ndio sawa
 
Huenda bado yapo ndio maana Lissu yupo huru kufanya hiyo mikutano ya hadhara.
Nimewaona CCM wameitana kwenye kikao nadhani vuguvugu la Wahafidhina ndani yao linamtaka Mama adhibiti Wapinzani.

Mbowe akubali serikali ya nusu mkate halafu tupate katiba mpya ili 2030 tuwang'oe hawa ccm haya ni maoni yangu tu.
 
Urais ulivyo Mtamu hivyo, asuse. Think twice my Bro. Hata huko USA Trump bado anang'ang"ana nao. Jikumbushe tu jinsi alivyomshughulikia Ndugai alipomjaribu.
Kwani ndugai na Lissu unaweza wapima kwenye mizani moja?. Hizi hoja za Lissu hawa vilaza wa CCM hakuna hata mmoja anayeweza kuzijibu.
 
Ni mimi tu niliyekuwa na uwezo wa kujibu hoja za wapinzani 😅🙏 !! Wakajifanya wajanja 😅😅🙏.
 
Back
Top Bottom