Kwa nondo zile za Lissu siioni Katiba Mpya!

Ni mjinga na mwendawazimi tu atamsikiliza Mropokaji na mkurupukaji na mtu wa ndimi mbili Kama lissu,Hakuna wa kumuamini Wala kumuunga mkono,ndio maana hakuna anayefuata lolote litokalo katika mdomo wake usio na chujio Wala muunganiko na ubongo wake
Punguza kasiriko wee chawa!!
 
Ni mjinga na mwendawazimi tu atamsikiliza Mropokaji na mkurupukaji na mtu wa ndimi mbili Kama lissu,Hakuna wa kumuamini Wala kumuunga mkono,ndio maana hakuna anayefuata lolote litokalo katika mdomo wake usio na chujio Wala muunganiko na ubongo wake
Hili njemba linaletaga propaganda za kitoto mno. Sijui ni lipuuzi gani hili!
 
Back
Top Bottom