Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
13,075
Reaction score
38,625
Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu.

Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata mia kwa kila bidhaa inayo nunuliwa hapo.

Kwa kiwango cha chini kabisa kila alie ingia hapo jana hakosi kuacha 50,000 kwa kila kichwa !

Hata hivyo amekuwa msaada mkubwa kwetu , ingawa bidhaa zate ni bahati na sibu kukuta isiyo na changamoto.
 
Halafu sio umaskini mkuu ni kujua tu vitu vizuri. Vitu used anavyoleta huyo sio vibovu kama vile vipya vilivyojaa Kariakoo.
 
Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu.

Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata mia kwa kila bidhaa inayo nunuliwa hapo.

Kwa kiwango cha chini kabisa kila alie ingia hapo jana hakosi kuacha 50,000 kwa kila kichwa !

Hata hivyo amekuwa msaada mkubwa kwetu , ingawa bidhaa zate ni bahati na sibu kukuta isiyo na changamoto.
Umeandika mengi lakini hujatoa maelezo hapo kinachoendelea nini, nani anauza bidhaa gani, hapo wapi?

Video yenyewe pia haijibu.

Ni kama unategemea kila msomaji awe anaelewa tu.
 
Hapo yard ya Chris Lukosi huwa anafanya minada ya used items from UK. Kampuni yake anaiita KC Global I think.
Ila alishirikiana na jamaa flani ustaadh kobaz swala tano alimdhulumu balaa wakati huo kampuni ipo mikocheni. Hadi huyo ustaadh alidanganya watu kampuni ni yake.

Yesu akaingilia kati Chris akaamua tu amuachie Yesu Mungu. Akaamia Salasala biashara ikapaa.

Angalia sasa hivi Bunju ni fire.

Mwamba ni mtu wa maombi sana anaamka kila siku saa kumi alfajir kumuabudu YESU.

YESU ndie anamlinda jamaa.

Malaria 2 mdogoee

adriz de mbusii
 
Ila alishirikiana na jamaa flani ustaadh kobaz swala tano alimdhulumu balaa wakati huo kampuni ipo mikocheni. Hadi huyo ustaadh alidanganya watu kampuni ni yake.

Yesu akaingilia kati Chris akaamiq tu amuachie Yesu Mungu. Akaamia Salasala biashara ikapaa.

Angalia sasa hivi Bunju.

Mwamba ni mtu wa maombi anaamka kila siku saa kumi alfajir kumueabudu YESU.

YESU ndie anamlinda jamaa.

Malaria 2 mdogoee

adriz de mbusii
Ustadh kaokolewa na Yesu? Tesu huyu aliezaliwa na mwanamke bibi Maryam?
 
Back
Top Bottom