Na upande wa Clearance bandarini atakuwa anaacha kibunda kirefu ishu ni kweli kinaenda serikalini ama kwenye mifuko ya watu.Na kweli anapqmbana si kitoto
Kwa iyo nyomi ulinzi ni muhimu sana kwake.Jamaa analindwa.
Ki halali vitu vya eletroniki used haizidi 25% ya garama zote pale bandarini.Na upande wa Clearance bandarini atakuwa anaacha kibunda kirefu ishu ni kweli kinaenda serikalini ama kwenye mifuko ya watu.
Halafu sio umaskini mkuu ni kujua tu vitu vizuri. Vitu used anavyoleta huyo sio vibovu kama vile vipya vilivyojaa Kariakoo.Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu.
Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata mia kwa kila bidhaa inayo nunuliwa hapo.
Kwa kiwango cha chini kabisa kila alie ingia hapo jana hakosi kuacha 50,000 kwa kila kichwa !
Hata hivyo amekuwa msaada mkubwa kwetu , ingawa bidhaa zate ni bahati na sibu kukuta isiyo na changamoto.
Bora UmeulizaNi Nani Wakuu Huko Dar Es Salaam
hebu angalia hako ka kideo kalio atachiwa alaf unambie kanahusu nini kwanza,Ni Nani Wakuu Huko Dar Es Salaam
Hapo yard ya Chris Lukosi huwa anafanya minada ya used items from UK. Kampuni yake anaiita KC Global I think.Bora Umeuliza
Ila sema Dasalamu watu wanajuana uzi comment ya Kumi watu wanajadili kiumbe kisicho julikana.! 🤭
Shikamoo zenu🤗
Umeandika mengi lakini hujatoa maelezo hapo kinachoendelea nini, nani anauza bidhaa gani, hapo wapi?Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu.
Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata mia kwa kila bidhaa inayo nunuliwa hapo.
Kwa kiwango cha chini kabisa kila alie ingia hapo jana hakosi kuacha 50,000 kwa kila kichwa !
Hata hivyo amekuwa msaada mkubwa kwetu , ingawa bidhaa zate ni bahati na sibu kukuta isiyo na changamoto.
Ila alishirikiana na jamaa flani ustaadh kobaz swala tano alimdhulumu balaa wakati huo kampuni ipo mikocheni. Hadi huyo ustaadh alidanganya watu kampuni ni yake.Hapo yard ya Chris Lukosi huwa anafanya minada ya used items from UK. Kampuni yake anaiita KC Global I think.
Ustadh kaokolewa na Yesu? Tesu huyu aliezaliwa na mwanamke bibi Maryam?Ila alishirikiana na jamaa flani ustaadh kobaz swala tano alimdhulumu balaa wakati huo kampuni ipo mikocheni. Hadi huyo ustaadh alidanganya watu kampuni ni yake.
Yesu akaingilia kati Chris akaamiq tu amuachie Yesu Mungu. Akaamia Salasala biashara ikapaa.
Angalia sasa hivi Bunju.
Mwamba ni mtu wa maombi anaamka kila siku saa kumi alfajir kumueabudu YESU.
YESU ndie anamlinda jamaa.
Malaria 2 mdogoee
adriz de mbusii