Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

Halafu sio umaskini mkuu ni kujua tu vitu vizuri. Vitu used anavyoleta huyo sio vibovu kama vile vipya vilivyojaa Kariakoo.
Ukiacha mashine kubwa, ambazo huwa nzuri, hivyo vidogo vidogo kama pc,tv,tools vingi ni vya hali ya chini mnoo.

PC ya mwaka gani sijui huko nyuma.
 
Pia ni kada w CCM mwadilifu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Exposure kwenye maisha ni muhimu Sana unaweza ukawa na Elimu ya kawaida but kutembea na kukaa kwako duniani kukasaidia, unaweza ukaanza maisha Kwa kazi ya hovyo but mbeleni mambo yakajipa kulingana na ufanyaji wako wa maamuzi, kuna Ile Tabia ya watz kusema kuwa ukiwa na kidogo kishikilie hiko hiko but Sometimes inabidi uachane na hiko kidogo na ulenge kikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…