Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Tazama hapa matokeo ya huo usaili. Huruma.
Na vyuo navyo vinazidi kufyatua tu.Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili. Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.
Kabisa mkuuHatariiii tupu.
Nakubaliana na ww mkuuNa vyuo navyo vinazidi kufyatua tu.
Nchi hii imekosa direction
Nafasi 200 unaita watu interview 23000+Tazama hapa matokeo ya huo usaili. Huruma.
Kwa Tz elimu tena sio chanzo cha ajira kama zamani. Watu wakubali hali ni mbaya.Nakubaliana na ww mkuu
Maigizo mkuu hatarrNafasi 200 unaita watu interview 23000+
Naunga mkono hojaNi vizuri wakaongeza na ujuzi mwingine, kupitia vyuo vya ufundi
Yaani waliofanyiwa interview walikuwa 23,426. Waliofuzu 775 sawa na asilimia 3.3%.Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili. Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.