Kwa nyomi ya walimu wa kiswahili ile nilioshuhudia siku ya usaili wao, hakika nawashauri vyeti wachome moto na wasahau suala la ajira

Kwa nyomi ya walimu wa kiswahili ile nilioshuhudia siku ya usaili wao, hakika nawashauri vyeti wachome moto na wasahau suala la ajira

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili.

Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.
 
Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili. Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.
Na vyuo navyo vinazidi kufyatua tu.

Nchi hii imekosa direction
 
Ni vizuri wakaongeza na ujuzi mwingine, kupitia vyuo vya ufundi
 
Vijana wanaosoma vyuo wajifunze ujuzi mwingine tofauti na ule wanaousomea ambao utawasaidia kusurvive mtaani. Mfano useremala, welding au kutengeneza magari la sivyo ataona maisha magumu.
 
Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili. Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.
Yaani waliofanyiwa interview walikuwa 23,426. Waliofuzu 775 sawa na asilimia 3.3%.
Lakini ni kawaida sawasawa na maandiko "waitwao ni wengi wateule ni wachache, Mathayo 22:14"
 
Back
Top Bottom