Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili.
Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.
Hakika kazi ipo vijana fungeni mikanda sahau kuhusu ajira Tafuteni njia zingine za kuishi. Mungu awatie nguvu katika maisha mengine ya nje ya taaluma Yenu.