Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Dunia inaande mbele huwez kurud nyuma Acha ushambaHivi tafsiri ya ushamba hasa ni nini boss?!
Yaani hata mtu kuacha kukuamini ni ushamba au unaimanisha kivingine?!
Online business kwa bongo bado sana ni bora tu uitwe mshamba kuliko kuibiwa kwa kumwanini mtazania
Online business tuwachie wazungu tu sisi ngozi nyeusi tuna laana sana
Kuna somebody humu alikuwa anajiita Mr. Mobile badae akawa anajiita @mr mobile(Samahani ka quote itakuwa imeenda kwenye id tofauti) jamaa mwanzoni lilivuta wateja siku za mwisho likawa lijizi.
Kumwamini ngozi nyeusi kwa online business ni kama kutoa sadaka bure kwa watu wanaojiweza!
Hapo kwenye bolt nakuamini kabisa, biashara iliangukia pua [emoji23][emoji23][emoji23]Mwanza wanabadilika tatatibu sana ndio kaushamba kenyewe,bolt walipelwka huduma yao imebuma,yaani mtu kurequest huduma ya taximtandaoni au bodaboda ni kitu ilishindikana mwanza,taxi driver anahisi anaibiwa,abiria anahisi anaibiwa
Bolt hawakuamini macho yaoHapo kwenye bolt nakuamini kabisa, biashara iliangukia pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanza wanabadilika tatatibu sana ndio kaushamba kenyewe,bolt walipelwka huduma yao imebuma,yaani mtu kurequest huduma ya taximtandaoni au bodaboda ni kitu ilishindikana mwanza,taxi driver anahisi anaibiwa,abiria anahisi anaibiwa
Sasa mbona Mbeya na Mwanza kimaendeleo ni tofauti hata kwa macho!Nimeishi mwanza na ninakubaliana na mleta mada. Watu wa mwanza ni wazito sana kupokea vitu vipya na idea mpya za biashara
Kuna dada alikuwa anapika makande anafanya delivery kwa kupitia simu lakini huwezi amini biashara ilikufa ndani ya muda mchache tu.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mboana Ndege daily na vituo vya mabasi vipya mbona watu wanasafiri kila siku! Acha utani bhana hahahaWasukuma ni shida...
Hata SGR wale ikiwafikia sijui itakuaje namna itavyochakazwa...