Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mboana Ndege daily na vituo vya mabasi vipya mbona watu wanasafiri kila siku! Acha utani bhana hahaha
Hahah si unajua sisi wabantu tuna utani baina yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mboana Ndege daily na vituo vya mabasi vipya mbona watu wanasafiri kila siku! Acha utani bhana hahaha
Mwanza maendeleo yanaletwa na wakujaSasa mbona Mbeya na Mwanza kimaendeleo ni tofauti hata kwa macho!
Online Business kwangu mimi naweza kusema inahitaji jamii ijifunze taratibu na pia kuna watu wengi sio waaminifu kwenye online business ndo maana wateja wanakuwa wazito!
Mtu anaweza kutoka Dar akafanye biashara Mwanza akiamini watu wa kule hawana exposure na kuingiza magumashi na kusababisha wenzake watakao fuata kukosa wateja!
Wanatokea wapi hao wa kuja kaka? Mwanza inajengwa na Uvuvi na madini asikudanganye yeyote!Mwanza maendeleo yanaletwa na wakuja
Mbeya wala sio City acha utani bhana kile ni kijiji chenye mrundikano wa nyumba nyingi za tope!Tooth Mbeya city stand up! Nimepamiss homeland mitaa ya Iyunga
Hayo maendeleo madogo unayoyaona mbeya Bado wamepeleka wakuja,wakinga,wabena na waheheWanatokea wapi hao wa kuja kaka? Mwanza inajengwa na Uvuvi na madini asikudanganye yeyote!
Mbona Mbeya hakuna maendeleo kama Mwanza vipi wakuja hawaendi huko?
Kwa hiyo Wanyavyusa na wasavywa wa hapo Mbeya hawana? Huo ni uongo tu! Mbeya iianza kukua ndo maana ikaonekana na hao wa kuja ndo wakaja!Hayo maendeleo madogo unayoyaona mbeya Bado wamepeleka wakuja,wakinga,wabena na wahehe
Mmmh ya kweli haya?Watu tu hawaelewi Ila ukweli ni kwamba wasukuma ni moja Kati ya jamii iliyojaa wezi Sana.
Hii hupelekea wasukuma kuthaminiana.
Inategemea, kama wewe ni mteja utasema unalipia ukifika na kama wewe muuzaji utasema utalipia kabla haujafika. Mwenye nguvu atashinda hapoMTU anauliza unalipa mzigo ukifika au before haujafika na yupo mikoani. Watu kama hao huwa unawajibu vipi
Mbeya hawaendi hao wa kuja? Unaenda kulipo na fursa na wanayapeleka hayo maendeleo kwa kuwa jamii husika iko tayari kufanya kazi na wa kujaMwanza maendeleo yanaletwa na wakuja
mbona ni swali la kawaida tu mkuu.MTU anauliza unalipa mzigo ukifika au before haujafika na yupo mikoani. Watu kama hao huwa unawajibu vipi