Kwa online business mkoa wa Mbeya una watu Smart sana sio washamba kama Mwanza

Watu tu hawaelewi Ila ukweli ni kwamba wasukuma ni moja Kati ya jamii iliyojaa wezi Sana.

Hii hupelekea wasukuma kuthaminiana.
 
Mwanza maendeleo yanaletwa na wakuja
 
Wanatokea wapi hao wa kuja kaka? Mwanza inajengwa na Uvuvi na madini asikudanganye yeyote!
Mbona Mbeya hakuna maendeleo kama Mwanza vipi wakuja hawaendi huko?
Hayo maendeleo madogo unayoyaona mbeya Bado wamepeleka wakuja,wakinga,wabena na wahehe
 
Hayo maendeleo madogo unayoyaona mbeya Bado wamepeleka wakuja,wakinga,wabena na wahehe
Kwa hiyo Wanyavyusa na wasavywa wa hapo Mbeya hawana? Huo ni uongo tu! Mbeya iianza kukua ndo maana ikaonekana na hao wa kuja ndo wakaja!
 
MTU anauliza unalipa mzigo ukifika au before haujafika na yupo mikoani. Watu kama hao huwa unawajibu vipi
 
MTU anauliza unalipa mzigo ukifika au before haujafika na yupo mikoani. Watu kama hao huwa unawajibu vipi
Inategemea, kama wewe ni mteja utasema unalipia ukifika na kama wewe muuzaji utasema utalipia kabla haujafika. Mwenye nguvu atashinda hapo
 
Anayeshtukia wezi ndo mjanja kuliko anayekubali wezi. Wewe huna ofisi maalum hata biashara yako haijasajiliwa brela unataka wana mwanza wakuamini. Mwanza siyo wajinga bora waagize kwa ndege au waende mtukula huko kuliko kufanya kazi na wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…