Kwa Pesa wanazoiba, inanivunja moyo kulipa kodi

Kwa Pesa wanazoiba, inanivunja moyo kulipa kodi

Hacha ujinga mwendazake anauhusika vipi na manunuzi ya ndege ya Mizigo,anahusika vipi na manunuzi ya vishikwambi vya kuhesabia sensa?.
Tumia kichwa mzee makalio kalia tu chooni kwisha.
Kahusika sana tu.
Soma ripoti ya CAG😃😃😃😃😃

Na bei kaongeza🤣
 
Matumizi yangu yote hua naingiza kimagendo kutoka nchi nyingine anzia mafuta yake kula, nguo, sabuni, hadi vyombo vya ndani hivo hapo hua najua namna ya kucheza nao,
Hizo ni direct tax you can exampt what about indirect tax?


Na siku wakikushika useme serikali haifai uwe mpinzani mkubwa wa ccm
 
Matumizi yangu yote hua naingiza kimagendo kutoka nchi nyingine anzia mafuta ya kula, nguo, sabuni, hadi vyombo vya ndani hivo hapo hua najua namna ya kucheza nao,
Kumbe nawe jambazi tu mmetofautiana kwenye njia mnazotumia kupiga matukio
 
Hacha ujinga mwendazake anauhusika vipi na manunuzi ya ndege ya Mizigo,anahusika vipi na manunuzi ya vishikwambi vya kuhesabia sensa?.
Tumia kichwa mzee makalio kalia tu chooni kwisha.
Mbona povu[emoji23][emoji23][emoji23] zile ndege za mwendazake risiti umeonyeshwa?
 
Nimeamua sasa rasmi.
Kunikamata hawatoweza milele na nasema wazi kuanzia sasa sitolipa tena kodi wala tra hawatoniona tena kwenye makadirio.
Kwa sisi mabingwa uhangaikie kodi ulipe halafu watu wamekaa ofisini wanajipigia wakati mvua na jua linatupata sisi mahustler hapana.
Nasema tena hapana, nilikua Raia mwema kwa sasa imetosha hapa nilipofika ndio mwisho na sirudi tena nyuma
Watu waibe mabilioni halafu bado wako kazini, niunguzwe na makemikali, niangukie na magogo ya timba, nilale kwenye turubai kesho nilipe kodi halafu kodi yenyewe inapigwa hivo.
Uzalendo bora ufie hapa potelea pote, tujenge nchi kwa jasho wengine wajilie haiwezekani.
Nasema huo ndio msimamo wangu, hali labda ikibadilika mbeleni huko nitaanza kulipa tena lakini kwa sasa hapana hapana.
Una haki mkuu,kwa jinsia mambo yalivyo una haki.Samia kazi imemshinda aachie ngazi,hang'ati kabisa.Sijui nani kamng'o meno,waliomnanii Magufuli nini.Yetu macho.
 
Nilikua Raia mwema kabisa lakini sasa uzalendo uishie hapo tu, sabuni nitanunua shaza na savonor sitaki ujinga tena
Jiue kabisa wajue umemind maana hata ukigoma kulipa Kodi Wala hawatajua kama Kuna kikaragosi hakilipi Kodi tena
 
Tatzo wengine watalipa alafu zitapigwa vile vile alafu unakuta kodi yako wewe ni % 0.0000000001^,suluhu hapa ni kuingia huko huko kwenye system ili na wewe utafune kisawa sawa.(ama kutafuta connection ya upigaji hasa hao tra)
 
Una haki mkuu,kwa jinsia mambo yalivyo una haki.Samia kazi imemshinda aachie ngazi,hang'ati kabisa.Sijui nani kamng'o meno,waliomnanii Magufuli nini.Yetu macho.
Magu ndiye muasisi wa haya akisaidiana na biswalo
 
Back
Top Bottom