Kahusika sana tu.Hacha ujinga mwendazake anauhusika vipi na manunuzi ya ndege ya Mizigo,anahusika vipi na manunuzi ya vishikwambi vya kuhesabia sensa?.
Tumia kichwa mzee makalio kalia tu chooni kwisha.
Hizo ni direct tax you can exampt what about indirect tax?Matumizi yangu yote hua naingiza kimagendo kutoka nchi nyingine anzia mafuta yake kula, nguo, sabuni, hadi vyombo vya ndani hivo hapo hua najua namna ya kucheza nao,
Hata hao waliosababisha uwaze hicho nao pia walijua hawaezi kamatwa wala kushitukiwa.
Hizo ni direct tax you can exampt what about indirect tax?
Na siku wakikushika useme serikali haifai uwe mpinzani mkubwa wa ccm
Nipatie kopi plzKahusika sana tu.
Soma ripoti ya CAG😃😃😃😃😃
Na bei kaongeza🤣
Kumbe nawe jambazi tu mmetofautiana kwenye njia mnazotumia kupiga matukioMatumizi yangu yote hua naingiza kimagendo kutoka nchi nyingine anzia mafuta ya kula, nguo, sabuni, hadi vyombo vya ndani hivo hapo hua najua namna ya kucheza nao,
Mbona povu[emoji23][emoji23][emoji23] zile ndege za mwendazake risiti umeonyeshwa?Hacha ujinga mwendazake anauhusika vipi na manunuzi ya ndege ya Mizigo,anahusika vipi na manunuzi ya vishikwambi vya kuhesabia sensa?.
Tumia kichwa mzee makalio kalia tu chooni kwisha.
Kumbe nawe jambazi tu mmetofautiana kwenye njia mnazotumia kupiga matukio
Hataki kusikia lolote baya la mwendazakeKahusika sana tu.
Soma ripoti ya CAG[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Na bei kaongeza[emoji1787]
Una haki mkuu,kwa jinsia mambo yalivyo una haki.Samia kazi imemshinda aachie ngazi,hang'ati kabisa.Sijui nani kamng'o meno,waliomnanii Magufuli nini.Yetu macho.Nimeamua sasa rasmi.
Kunikamata hawatoweza milele na nasema wazi kuanzia sasa sitolipa tena kodi wala tra hawatoniona tena kwenye makadirio.
Kwa sisi mabingwa uhangaikie kodi ulipe halafu watu wamekaa ofisini wanajipigia wakati mvua na jua linatupata sisi mahustler hapana.
Nasema tena hapana, nilikua Raia mwema kwa sasa imetosha hapa nilipofika ndio mwisho na sirudi tena nyuma
Watu waibe mabilioni halafu bado wako kazini, niunguzwe na makemikali, niangukie na magogo ya timba, nilale kwenye turubai kesho nilipe kodi halafu kodi yenyewe inapigwa hivo.
Uzalendo bora ufie hapa potelea pote, tujenge nchi kwa jasho wengine wajilie haiwezekani.
Nasema huo ndio msimamo wangu, hali labda ikibadilika mbeleni huko nitaanza kulipa tena lakini kwa sasa hapana hapana.
Rais kashindwa kazi kwa kweli.
Wala sio povu,tujikite kwenye hoja.Mbona povu[emoji23][emoji23][emoji23] zile ndege za mwendazake risiti umeonyeshwa?
Una haki mkuu,kwa jinsia mambo yalivyo una haki.Samia kazi imemshinda aachie ngazi,hang'ati kabisa.Sijui nani kamng'o meno,waliomnanii Magufuli nini.Yetu macho.
Jiue kabisa wajue umemind maana hata ukigoma kulipa Kodi Wala hawatajua kama Kuna kikaragosi hakilipi Kodi tenaNilikua Raia mwema kabisa lakini sasa uzalendo uishie hapo tu, sabuni nitanunua shaza na savonor sitaki ujinga tena
Magu ndiye muasisi wa haya akisaidiana na biswaloUna haki mkuu,kwa jinsia mambo yalivyo una haki.Samia kazi imemshinda aachie ngazi,hang'ati kabisa.Sijui nani kamng'o meno,waliomnanii Magufuli nini.Yetu macho.
Anatembea na panic button yake ready.ready🤣Hataki kusikia lolote baya la mwendazake