Kwa picha haya hapa ndo majengo ya mwanamume mwenzetu anayeitwa Trump Donald trump

Babu yake alianza hizi biashara za kujenga nyumba na kupangisha , sema yeye alijenga wood based or timber house ,baba Naye akaja akawa mule mule trump akaja akaua kabisa.
Waza mjukuu wake itakuwaje.
Sasa wewe dingi yako hata mtaji wa laki moja hajakuachia alafu usipompigia simu ananuna
 
Wa kwetu ananunua maroli tu kila siku
 
Marekan kiwanja cha bei ndogo ni bei gan
 
Ahsante Beira Boy Kuna kibaridi huku mnara ulikuwa umesimama muda wote Ila baada ya kufungua huu uzi kadudu kamenywea .

Sasa nipo katika kilindi Cha mawazo nikiwaza itakuwaje Mimi kabla ya kufa ikiwa Trump hajafa Ila ana vitu vikubwa hivi vipi akifa si Mali zake nyingi zitakuwa exposed ?

Aisee inanitesa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…