Kwa picha haya hapa ndo majengo ya mwanamume mwenzetu anayeitwa Trump Donald trump

Kwa picha haya hapa ndo majengo ya mwanamume mwenzetu anayeitwa Trump Donald trump

Babu yake alianza hizi biashara za kujenga nyumba na kupangisha , sema yeye alijenga wood based or timber house ,baba Naye akaja akawa mule mule trump akaja akaua kabisa.
Waza mjukuu wake itakuwaje.
Sasa wewe dingi yako hata mtaji wa laki moja hajakuachia alafu usipompigia simu ananuna
 
Raisi anatakiwa awe na Uchumi mzuri siyo Raisi anaiba pesa za wananchi na kujenga maghorofa yake kijijini kwao, na kuchukua pesa za wananachi na kuwagawia Maaskofu na timu za mpira wa miguu, kwa jinsi Trump alivyo na pesa ata akitoa pesa kwa Maaskofu na timu za Basketball wananchi hawata shtuka na kusema Trump fisadi
Wa kwetu ananunua maroli tu kila siku
 
Hayo majengo ukiona "Trump Tower" usifikiri mmiliki ni Trump.

Mengine wanatumia jina tu.

Kwa mfano hilo la Waikiki, soma hapa wameeleza.

"Although a part of the global Trump Hotels chain, the property was not owned by or developed by, and did not contain property sold by Donald Trump, The Trump Organization, or any of their affiliates. The hotel's owner, Irongate, licensed the Trump name from Trump Marks Waikiki LLC."
Marekan kiwanja cha bei ndogo ni bei gan
 
Ahsante Beira Boy Kuna kibaridi huku mnara ulikuwa umesimama muda wote Ila baada ya kufungua huu uzi kadudu kamenywea .

Sasa nipo katika kilindi Cha mawazo nikiwaza itakuwaje Mimi kabla ya kufa ikiwa Trump hajafa Ila ana vitu vikubwa hivi vipi akifa si Mali zake nyingi zitakuwa exposed ?

Aisee inanitesa kichwa
 
Back
Top Bottom