Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Mkuu wapuuzi ndivyo walivyo, wakishindwa kujibu hoja wanapanicHapa umebana pua nmelia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wapuuzi ndivyo walivyo, wakishindwa kujibu hoja wanapanicHapa umebana pua nmelia sana
TrumpkumamakeHiii bagoshaaa
2035 ccm twende na lugumi sio kwa mijengo ileNa yote kayapata kabla ya kua rais
inawezekana ishu ni pesa,muda na mikakati.Ukweli usemwe tu, haiwezekani kibarua ageuke kuwa successfull kuliko boss kubwa
Kauli za kijifariji hizi😂😂😂Ingekuwa duniani tunaishi milele..........
malizia sentensi hii
Mmekuja kutafuta hela ya Bando la wiki ambalo nalo linakata siku mojaDuh, sasa hii ndio maana halisi ya ule usemi " Hivi duniani wengine tumekuja kufanya nini?🤣🤣
Yupo mbele ya muda na anapenda kujimix na walio mbele ya muda wenzieDuh, sasa hii ndio maana halisi ya ule usemi " Hivi duniani wengine tumekuja kufanya nini?🤣🤣
Kuna tofauti kubwa kati ya muafrika na mzungu, mind set ya mtu mweusi ndio kikwazo chakeMali zote hizi halafu unazaa watoto wawili tu..
😭😭😭
Mkuu bora umesema naweweKuna tofauti kubwa kati ya muafrika na mzungu, mind set ya mtu mweusi ndio kikwazo chake
Anachimba real estate materials and sold out all over the world 🌎Huyu jamaa sijui hela anazitoa wapi watu ni matajiri hatari
Kuna Masikini walioumbwa kwa ajili ya kuwa masikini Milele watakuja kukwambia atakufa tu na akifa atayaacha.Amani kwenu wanaume wa jamiiforum
Moderater mnisaidie kuziweka vizuri hizi picha