Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Hizo nyingine ni mamlaka za dunian hivyo hapo yeye ananizidi kapewa mamlaka ya kiinchi. Lakini sio kwamba Mimi anachokifanya sikiwezi Bali protakali tu ila Mimi nilitaka nikueleweshe tu heshima na wadhifa aliotupendelea Mungu duniani na mbinguni ambao shetani anapambana kuuvunja kwa kuchomeka vitu ambavyo viko nje ya utaratibu mpaka tuvione vinafaa huku kumbe tumakosea
 
Huo urembo wanakuwa wanataka kumringishia nani? Mwanamke anajiremba ili asifiwe na mwanaume.

Tumeshaona wanaume wao watapewa hao 72 ili kukata kiu yao ya ngono. Je wanawake huo urembo ni kwa ajili ya nini?
Mwanaume.
 
Mapenzi ni starehe ya duniani. Mbinguni kuna mfumo tofauti kabisa na wa kidunia. Hamuwezi geuza pepo kuwa danguro. Mwanaume mmoja wanawake 72?! Huo ni umalaya na ni kumdhalilisha mwanamke.
Wewe ndiye Mungu hata ummpangie?.
 
Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.

View attachment 2860064
View attachment 2860063
Yaani unaamimini upuuzi huu, kama sasa wameahidiwa raha hizi huko peponi kwanini wasijiue wote wawahi viti vya maraha peponi? Dini kwa kweli ufanya watu kuwa wajinga haswa, kuna kuwadi wao FaizaFoxy anawasihi wanawe waende vitani kujilipua ili wakifika peponi yeye binafsi atawakabidhi mabikra 72 kila mmoja wao na wanamuamini. Yaani kijana wa Kiislam mwaka mzima anashindwa kuto.mba demu hata mmoja akiwa hai hapa duniani, hao 72 atawawezaje huko motoni akiwa anaungua?

#Jitafakarini jamani.
 
Uongo mtupu kudadadek wameliwa kalumanzira kawatapeli
 
Na wanawake watapata raha gani huko peponi? Nataka kujifunza
Watakutana na wanaume wenye mikuyenge mirefu sana. Mkuyenge mmoja uliosimama utakuwa na urefu sawa na kimo cha friji la Boss, tena mikuyenge hiyo itakuwa ya wavulana wadogo wadogo

Unene wa milunguru hiyo, utakuwa sawa na kipenyo cha ndoo ndogo ya kuogea

Utamu watakaoupata wakati wa kuzagamuliwa utakuwa sawa na utamu wa asali ya Njombe mara 10,000. Pindi atakapopizi, atalala usingizi mtamu sana ambao hakuna kiumbe chochote duniani, hata pono, aliyewahi kuexperience

Watarejeshewa jicho kila mmoja. Na hata wavulana wa peponi hawatakuwa na uwezo wa kupasua spika za wanawake hao, kwa kuwa zitakuwa ngumu na zenye kuvutika. Endapo itapasuka kwa bahati mbaya, mwanamke huyo atainya, kisha ndogo hiyo itatupwa moyoni
 
Kiranga Niache bwana, mimi ni kati ya walioamini.
Mkuu kuamini hakukatazwi, isipokuwa tunataka milango ya kuingilia tunaotanga tanga kutafuta imani ya kweli.
Wewe uliyeamini una kazi ya kujibu maswali ya dodoso kutoka kwa watu wenye nia ya dhati ya kutafuta faraja za kiimani ili kuwavuta katika imani yako.
 
So we kwa akili zako timamu bikra alizaa ..ehe na James kaka yake yesu amezaliwaje
 
πŸ˜‚Dini ni utapeli ..mi nikishaona mtu ananiambia "Mungu yupo kila mahali ila amenichagua Mimi kukuambia hivi na anataka hivi" mi naona Hana tofauti na chuma ulete wale
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sema we ni kondoo unasubiri kuchinjwa na Mungu
 
Mpe demu wako urembo na mapambo kama hutaskia kabanduliwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…